Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Huyu jamaa anaiendesha nchi kimazabemazabe kama Captain Jack Sparrow. Compass yake hata haionyeshi North ni wapi. [HASHTAG]#ImbomboNgafu[/HASHTAG]
 
Nilijua tu kwamba hili lingetokea.

Wasanii wana mengi yaliyoko vichwani mwao yanayohusu maisha ya kila siku na wanaogopa kuyaanika. Kile kitendo cha kuruhusiwa Ney nilijua wengi sana watafunguka na serikali isingeweza kuhimili kishindo cha hiyo misitari.

Ni sawa na kuchokonoa bwawa lililojaa maji la kuta za udongo, ni lazima usombwe na mafuriko!
 
Naona uchokozi wa visasi haujaisha hata baada ya Rais kumtoa Ney sero haya mnachokitafuta mtapata.
 
Kakamatwa na nani? Jeshi la polisi au jeshi la bashite?
Sirro huwa anawaita Central, uvamizi ni Bashite style.... Kwan yule Bwana wa kuitwa Sniper keshamaliza likizo yake?
 
Eeeeeh! mtawakusanya wengi sana lakini mwisho wake utawatokea puani kwa nini nchi watu wanaishi bila amani!
 
walkua wanapka kitu nn,labda wamehofu ROMA kurudi kwenye misingi yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
imefikia hatua sisi wabongo tunaona ni kawaida mtu akitoweka ghafla/ kupotea au kukamatwa na watu wasio julikana, tunaona ni kawaida tu wakati zamani mfano mzuri huko vijijini watu walikuwa wana organize na kuanza kumtafuta huyo mtu kila kona. Tubadilike jamani kama police wamekana hawajahusika kumkamata Roma na Wenzake basi tutumie mtindo kama nilivyo eleza hapo juu.
 
kina bashite wamemuwai kabla hajatoa ngoma yake eeeh?
 
Kwani huyo Roma ndio nani? na anajishughulisha na nini? mbona mnapenda kutafuta Kiki kwa Serikali kibwege bwege hivi. leteni vitu vya msingi watu wamchukue Roma waende nae wapi? kama ndieyule mwanamuzi anaeimba nyimbo zinazokaa wiki moja watu hawazikumbuki tena, kama kuimba kuna watu waliimba wa bongo flava mpaka leo nyimbo ikipigwa bado inamaana ije kuwa nyimbo zenu kama pipi ukimung'unya inakwisha.
mbona maneno yanakuponyoka chifu, umeigiza humjui alafu unajijibu mwenyewe. tulia dawa isambae kama zinakaa wiki moja mbona wana hofu kuu wenzako
 
Bora kuishi Somalia inayojulikana si salama kuliko kuishi humu na hawa majambazi I hate them Ila nategemea Malawi watatukomboa na utumwa huu.
Mkuu Malawi hawawezi kuyapiga haya majambazi sugu, labda uwepo msaada mkubwa Sana wa taifa kubwa ndo Tunaweza kukombolewa.
 
Back
Top Bottom