Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Hisia maana yake nini?

Na pia fikra mana yake nini?
Fikra ni mchakato wa kiakili wa kutafakari na kuchambua na kuzingatia jambo fulani.

Hisia hali ya kimhemko ,inayotokea kwa mtu kama furaha huzuni hasira na nk ambayo huchochewa na mabadiliko ya hormone.
 
Unaweza kuthibitisha kwamba hivyo vitu vipo?
 
Wabongo Kwa ulozi ni balaa ,Magufuli mwenyewe alipigwa kipapai kule Lindi ,kichwa kikawa kinafuka moshi tu ,hawaoni moshi unatokea wapi , hata yeye mwenyewe alikiri hadharani siku hiyo .
Kikwete walimuangusha akiwa jukwaani
 
Tanzania ndio nchi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya haya mambo ya ushirikina na ulozi .
Hii nchi acha kabisa
 
Back
Top Bottom