Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Weka majina yako matatu halisi.

Weka majina ya mama yako matatu.

Vitu vya ziada leta nguo ambayo umeshaivaa ila haijafuliwa.

Leta mchanga mahali ulipokanyaga .

Mchawi anayeweza kupaa na ungo mkoa to mkoa. Kupenya ukutani hana uwezo wa kujua jina tu 🤣 🤣 huwa mnawaza kweli mambo mnayoongea?
 
Anakuwekea mpaka chura tumboni ila jina tu anashindwa kulijua😁
 
Brother ni story ndefu, ila ilikua ni issue ya kusajiri wakimbizi, Sasa bwana yule nilimzingua, si unajua usela wa fresh from chuo.
😁😁
Haukupatiwa orientation jinsi ya kuwahudumia hao majirani zetu?
Hao wanahitaji special care, ukiwanyanyapaa na wakatoa taarifa ni mtihani mwingine.
 
Asiyeamin uchwaw upo labda kama haujampata.uchawi upo na wachaw wapo vizur tu.asil ya uchaw ulifundishwa na kabla ya kufundishwa watu waliambiwa musihifundishe
Hakuna kitu kinachoitwa uchawi mara nyingi watu wanaposhindwa kupata majibu fulani husingizia ni nguvu za uchawi au za Mungu tu , kuna miaka magonjwa kama Ukimwi na tauni yalionekana ni uchawi na laana ila kwa sababu sasa tumeweza kuyapatia ufumbuzi hiyo dhana haipo tena kwenye jamii.
 
Mchawi anayeweza kupaa na ungo mkoa to mkoa. Kupenya ukutani hana uwezo wa kujua jina tu 🤣 🤣 huwa mnawaza kweli mambo mnayoongea?
Hiyo sayansi ya asili ni pana sana.

Uganga unatofautiana, kuna wanaotumia vibuyu, kuna wanaotumia vitabu na kuna wanaotumia majini, kuna wanaotumia televisheni ya asili.

Wapo wanaoweza kukwambia jina lako na shida kabla haya hujawaambia na hawa mara nyingi ni waganga wa vibuyu .

Mganga wa kitabu mpaka umwambie jina na umueleze unataka nini.
 
Hakuna kitu kinachoitwa uchawi mara nyingi watu wanaposhindwa kupata majibu fulani husingizia ni nguvu za uchawi au za Mungu tu , kuna miaka magonjwa kama Ukimwi na tauni yalionekana ni uchawi na laana ila kwa sababu sasa tumeweza kuyapatia ufumbuzi hiyo dhana haipo tena kwenye jamii.
Kama huamini uchawi haupo basi inamaanisha hauamini pia kama Mungu yupo.
 
Hiyo sayansi ya asili ni pana sana.

Uganga unatofautiana, kuna wanaotumia vibuyu, kuna wanaotumia vitabu na kuna wanaotumia majini, kuna wanaotumia televisheni ya asili.

Wapo wanaoweza kukwambia jina lako na shida kabla haya hujawaambia na hawa mara nyingi ni waganga wa vibuyu .

Mganga wa kitabu mpaka umwambie jina na umueleze unataka nini.
Tatizo huwa tukiwambia uchawi na hizo mambo zake hazipo mnatuona labda ni watoto wa juzi tu na labda huko kwenye hizo jamii zenye imani hizo hatujawahi kuishi l🤔
 
Back
Top Bottom