Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Yule mpemba R.I.P baada ya mapambio kule kilwa road alirudi magogoni na mgeni huyo ila kilichofuatia huko Haile Selassie Na shaban robert au cocobeach ni bendera nusu mlingoti na nyimbo za komba.
Nimeupenda uandishi wako.Ni kama bado upo msibani.Yaani unaongea kidogo maneno yasiyoeleweka,unaanza kulia kwa kwikwi kali. Halafu,unafuta kamasi ,machozi na jasho.Kisha unaendelea kusimulia jinsi ulivyompenda marehemu.
 
kwa nini yule high ranking diplomat wetu kule kwa jamaaa wa vitambaa aliuliwa?
 
Kuna IGP alichapwa risasi 11 akiwa na familia yake mchana kweupe tena na vijana wake kabisa...
 
kundi la boys2men liliundwa na nani na nani!?
 
bily ni kwanini gwajima alikamatwa,hata baada ya pengo kumsamehe?

Na hao wenye nchi ni akina nani?
Mkuu kuna watu ni untouchable ukiwagusa basi utaumia au utaumizwa na wenyenchi ujawahi kusikia huko kwamba askofu anatawala nchi watu wakalalamika ili kubalance wazee wa system wakaja na BAKWATA hivi ushajiuliza kwa nini Sheikh Ponda halitaki wala haelewani na BAKWATA ? Hicho chombo kiliundwa na ccm kuwaada waislamu huko.
 
Comment yako imenifanya nielewe kitu 1 kikubwa sana. Kuwa your only safe kama ukiwa the man on top ila ukishashuka tu wewe tayari unakuwa kama akina sie pangu pakavu.
 
Duuuhh ilikuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…