Inasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa serikali iliyokuwepo madarakani kwa sabab alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:
1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwann walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono
2. Walipohukumiwa kunyongwa rais mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..
Inasemekana kulkuwa na mkono wa Kagame kwny haya mauaji