Inanikumbusha habari ya Ahmed chalabi leo nilikuwa nacheck documentary aljazeera,
alikuwa mpinzani wa saddamu huseini,
sasa kumbe pia ni jasusi wa iran,
wairan wamesuka ushahidi fake kuwa saddamu ana silaha za maangamizi,sijui kanunua uranium toka Niger na ana mobile labaratory za kutengeza chemical weapons,
kawafuata wamarekani na kuwaonyesha ushahidi,
mmarekani kaingia mkenge akamvamia saddamu na kumtoa madarakani na kumsimika Ahmed chalabi kuwa prime minister,
chalabi akafungulia wairan iraq ambao tena wakaanza kuwaua wamarekani remember moqtada al sadr,
marekani kuja kushituka tayari iraq imekuwa under iran influence mpaka kesho.
Wamerekani waliudhika sana walipogundua kumbe chalabi ni agent wa iran,yaani iran wamewatumia wamarekani kumtoa na hatimae kumuua saddamu ambae alikuwa adui yao mkubwa,
kikatumwa kikosi kazi cha marekani CIA kinaitwa SAD-special Activities Deparment kummaliza chalabi.
Basi siku moja chalabi yuko aljazeera anahojiwa jinsi ushahidi wa kumtoa saddamu ulivyokua fake,chalabi akaruka kimanga kuwa haiwezekani taifa kubwa super power kama marekani litegemee ushahidi wao akina chalabi kuanzisha vita wakati wao wana asset za kutosha kupata information zote na kuact accodingly.
Masaa kumi baada ya mahojiano hayo Ahmed chalab akapatikana kafa chumbani kwake,kumpima wanakuta ni heart attack.
Sasa sijui walimpaka vx bila yeye kujua ama walimpulizia hewa chumbani akiwa kalala,
hizi sumu za kafie mbele ni noma