Dkt Omar kafariki Mkapa akiwa hapa Nchini na ndie aliutangazia Umma kupitia Radio Tanzania Alfajir ya Siku hiyo hiyo!
Kumbuka kuagiza gari tu mpaka kulitoa Bandarini ni Mchakato wa zaid ya Mwezi Mmoja Sasa huo Mchakato wa Kupitisha Silaha ulikuwa na haraka kiasi gani kiasi cha mambo yote kufanyika Amiri Jeshi akiwa nje ya Nchi na bila ya kufahamishwa?
Mwisho kwa kukusaidia Rais akiwa hayupo Nchini huwa kisheria anakaimisha Madaraka yake yote kwa Makamu wa Rais lakin Yale majukumu yake yake yenye nature ya Uamiri Jeshi huwa hayakaimishwi Mf. Kutangaza Vita, kutangaza hali ya hatare na mfano wa hayo!
Hakika! Wewe na barufu ni watoto wa baba na mama mmoja!
Nimewatambua kwa namna mnavyo ongea na sauti zenu! Karibuni tuote moto
Mwenzio [HASHTAG]#Barafu[/HASHTAG] yupo wapi, hatujamsikia na yeye kwa muda sasa!