Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

M

Mtu akishika rungu anakuwa na nguvu sana huenda Mzee wa butiama ali muunderestimate chee nkap akijua n mzanzibar koko ,matokeo yake ndo hayo sasa,uzuri usanii huo aliwafundisha mwenyew
Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.
 
Lakini hapa hapakuwa pia na nguvu nyingine kutoka uaduini tulimofikiri?kwa maana maadui wengine mmoja wao alikuwa anakataliwa na mwalimu kusimika bendera mlima kilimanjaro kwa sababu ya kuwa na maziwa na asali nyingi.
Mwingine aliambiwa umri hautampa busara kuachiwa boma.
Hawa hawakuwa na mkono wao?
Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengi
 
Inasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa serikali iliyokuwepo madarakani kwa sabab alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:
1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwann walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono
2. Walipohukumiwa kunyongwa rais mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..

Inasemekana kulkuwa na mkono wa Kagame kwny haya mauaji
Mrema kuwa upinzani kipindi kile japo hadi sasa ni TLP zile ni mbinu tu undercover was ccm coz by professional huyu ni mtu wa TISS the first appointment ya kazi yke ya ushushushu ilikuwa kahama shinynga
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Mungu anakuona
 
Yule mpemba R.I.P baada ya mapambio kule kilwa road alirudi magogoni na mgeni huyo ila kilichofuatia huko Haile Selassie Na shaban robert au cocobeach ni bendera nusu mlingoti na nyimbo za komba.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa. Nyimbo za jiraniyangu nimeipenda...
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Ni wewe kweli ?
 
Yawezekana ikawa nikuweka watu flani salama. Ila inaonekana kunamengi tusio yafamu. Pangine tangu mwanzo hatukua navyama vingi

Ni Vizuri kuwa Makini Kijana!

Kama Mkuu wa Usalama wa Taifa anaweza kutegewa akategeka bila ya kujua, Mimi na Wewe nani anaweza kuwa Mtaalam wa kuruka mitego hiyo?

Kunguru muoga huishi Miaka mingi japo ndio huonekana Fala kwa Makunguru wenzie
 
Inanikumbusha habari ya Ahmed chalabi leo nilikuwa nacheck documentary aljazeera,
alikuwa mpinzani wa saddamu huseini,
sasa kumbe pia ni jasusi wa iran,
wairan wamesuka ushahidi fake kuwa saddamu ana silaha za maangamizi,sijui kanunua uranium toka Niger na ana mobile labaratory za kutengeza chemical weapons,
kawafuata wamarekani na kuwaonyesha ushahidi,
mmarekani kaingia mkenge akamvamia saddamu na kumtoa madarakani na kumsimika Ahmed chalabi kuwa prime minister,
chalabi akafungulia wairan iraq ambao tena wakaanza kuwaua wamarekani remember moqtada al sadr,
marekani kuja kushituka tayari iraq imekuwa under iran influence mpaka kesho.

Wamerekani waliudhika sana walipogundua kumbe chalabi ni agent wa iran,yaani iran wamewatumia wamarekani kumtoa na hatimae kumuua saddamu ambae alikuwa adui yao mkubwa,
kikatumwa kikosi kazi cha marekani CIA kinaitwa SAD-special Activities Deparment kummaliza chalabi.
Basi siku moja chalabi yuko aljazeera anahojiwa jinsi ushahidi wa kumtoa saddamu ulivyokua fake,chalabi akaruka kimanga kuwa haiwezekani taifa kubwa super power kama marekani litegemee ushahidi wao akina chalabi kuanzisha vita wakati wao wana asset za kutosha kupata information zote na kuact accodingly.
Masaa kumi baada ya mahojiano hayo Ahmed chalab akapatikana kafa chumbani kwake,kumpima wanakuta ni heart attack.

Sasa sijui walimpaka vx bila yeye kujua ama walimpulizia hewa chumbani akiwa kalala,
hizi sumu za kafie mbele ni noma
 
Akili mbovu tu,ukishaambiwa SABASABA ni mwzi wa saba na imepewa jina kutokana na kupangana kwa saba zinazofuatana.
Watanzania tunajua mwezi wa nne ni sikukuu yenu(WAJINGA) tarehe 1/4_,, PASAKA na MUUNGANO.
Ndiyo maana nikapata mashaka na utaifa wako.

Kwani shule unafungua lini?
 
Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengi
Huyo mzee alikua na ka'uzibe gani? Mbona walimuondoa faster hivyo?!!
 
Dah,aisee kumbe wino aghalabu unaweza kununua kiwanja na kauli aghalabu zikakujengea nyumba bila ubongo na msuli.
 
Huyo mzee alikua na ka'uzibe gani? Mbona walimuondoa faster hivyo?!!
Siasa za Bongo zilikuwa za kubadilisha kijiti kati ya Bara na visiwani baada ya Nkapa kumaliza wazenji walitakiwa wamtoe Rais ila baada ya mission accomplished in 1999 jamaa walihakikisha anyone seems as an obstacle must removed by any means so connect dots
 
Back
Top Bottom