Dkt Omar kafariki Mkapa akiwa hapa Nchini na ndie aliutangazia Umma kupitia Radio Tanzania Alfajir ya Siku hiyo hiyo!Hii ishu ya Dr Ally Juma tetesi ni kwamba huyu mzee aliruhusu kupta silaha haramu wakat huo Ben akiwa nje ya nchi vijana wa ikulu wakamtobozea mzee akiwa nje na kumwamuru akute barua ya kujiuzuru nfs yke ya VP ndopo akapta depression na kurudisha kadi kwa Mungu
Kumbuka kuagiza gari tu mpaka kulitoa Bandarini ni Mchakato wa zaid ya Mwezi Mmoja Sasa huo Mchakato wa Kupitisha Silaha ulikuwa na haraka kiasi gani kiasi cha mambo yote kufanyika Amiri Jeshi akiwa nje ya Nchi na bila ya kufahamishwa?
Mwisho kwa kukusaidia Rais akiwa hayupo Nchini huwa kisheria anakaimisha Madaraka yake yote kwa Makamu wa Rais lakin Yale majukumu yake yake yenye nature ya Uamiri Jeshi huwa hayakaimishwi Mf. Kutangaza Vita, kutangaza hali ya hatare na mfano wa hayo!