Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 747
Allah?All in all sote ni wa Allah na kwake tutarejea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah?All in all sote ni wa Allah na kwake tutarejea
Kuna upangiliaji tofauti tofauti wa tarehe..ahaha nishaelewa. Sabasaba ni kilele ila maonyesho ni kuanzia April?
Target 04/07Mkuu ilikuwa tar 07/4/?? Hii tarehe huwa ina nini? Karume plus kanumba the same date but miaka tofauti
Nipo ndugu yanguhashim mwamba upo???
Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.
Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
Unadhani kwanini Muamerika anapindua serikali zingine? Kwanini jeshi la kagame haliondoki Kongo?Mapinduzi ya Congo sisi Watanzania Yanatuhusu nn?Naomba unieleweshe
Wanataka rasilimaniUnadhani kwanini Muamerika anapindua serikali zingine? Kwanini jeshi la kagame haliondoki Kongo?
Hawa jamaa waliachiwa kabla 2012.2006 Jakaya alibadilisha kutoka kunyongwa mpaka kifungo cha Maisha
2012 wakaachiwa kwa Msamaha lakin yote hayo haya kuwa kwny front page za Magazeti kwa kuwa Mtawala wa wakati huo alikuwa anajua ingeamsha Mjadala wa Imran Kombe namna alivyotutoka
Ingekuwa Zama hizi sijui ingekuaje?
Mtu akishika rungu anakuwa na nguvu sana huenda Mzee wa butiama ali muunderestimate chee nkap akijua n mzanzibar koko ,matokeo yake ndo hayo sasa,uzuri usanii huo aliwafundisha mwenyewHao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.
Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
Lakini hapa hapakuwa pia na nguvu nyingine kutoka uaduini tulimofikiri?kwa maana maadui wengine mmoja wao alikuwa anakataliwa na mwalimu kusimika bendera mlima kilimanjaro kwa sababu ya kuwa na maziwa na asali nyingi.Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.
Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
Kweli...kuna kakasi kuliendelezaAnaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Akili mbovu tu,ukishaambiwa SABASABA ni mwzi wa saba na imepewa jina kutokana na kupangana kwa saba zinazofuatana.Hakuna haja ya povu mkuu
Wewe ndiye kilaza
Maana katika kuandika tarehe ipo aina tatu;
Kuna 1. mwaka/mwez/siku
2. siku/mwezi/mwaka
3. mwezi/siku/mwaka
Kwa hiyo 4/7, nilitafsiri kama mwezi/siku/mwaka. Yaani mwezi wa nne/tarehe 7
Una lingine!???
Ameshaelewa rudini kwenye topicAkili mbovu tu,ukishaambiwa SABASABA ni mwzi wa saba na imepewa jina kutokana na kupangana kwa saba zinazofuatana.
Watanzania tunajua mwezi wa nne ni sikukuu yenu(WAJINGA) tarehe 1/4_,, PASAKA na MUUNGANO.
Ndiyo maana nikapata mashaka na utaifa wako.
Hata hii mistari michache ukiisoma utapata kapicha...usiende haraka....Kusoma Tz na Mapinduzi y Congo yanahusiana vp?kwani walikuja kusomea jinsi ya kufanya mapinduzi
Mi mwenyewe sibanduki, sema kuna mbegu zinataka kuharibu hali ya hewa.Leo sitoki hapa
Hata hivyo kajitahidi sana wachunguzi wa mambo tumeelewa,, Akisema aongeze nyama milion7 utamlipia??Duh mbona Hujaweka nyama kidogo??
Huu mjadala umekua namafundisho makubwa mno, umenifanya nitafakar kuhusu ushabaki wangu wasiasa inaonekana kunamengi sana yamefanyika nayanafanyika ilikuieka hii nchi salama