Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] hilo kaburi chunguu...ngoja tuone wafukuaji wanasemajeMkimaliza ya Dr Omary muende kwa Balali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] hilo kaburi chunguu...ngoja tuone wafukuaji wanasemajeMkimaliza ya Dr Omary muende kwa Balali
tutawaelewa tu wee tulia...naona bado spirit haijafika mahala pake
Ukikaa kwenye baraza la kahawa utapata kila kitu ...Taifa hili lina siri nzito
.....
Kusoma Tz na Mapinduzi y Congo yanahusiana vp?kwani walikuja kusomea jinsi ya kufanya mapinduziWe naye M7, Garang, Joseph, Gwebuza, Mutharika wote walisoma UD! so???
pick one and stick to it....thread nyngne ni za kiIntelligence zaid nahis maana mmh!Mada Moja munaingiza Mada zingine kwa nini?
prof Dia Wamba aliendesha mapambano akiwa dar au congo?
Hivi Kagame ni jasusi sana?!! 'inasemekana' zimekuwa nyingi!!!Inasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa serikali iliyokuwepo madarakani kwa sabab alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:
1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwann walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono
2. Walipohukumiwa kunyongwa rais mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..
Inasemekana kulkuwa na mkono wa Kagame kwny haya mauaji
mh![emoji20]Hilo ni Somo refu sana Ndugu yangu hapa tutatoka nje ya mada!
Pengine Leo Hii tuna Amani Tamzania kwa kuwa Congo Hakuna Amani n.k
Wewe una kichwa kizito sana,au siyo mtanzania?ahaha nishaelewa. Sabasaba ni kilele ila maonyesho ni kuanzia April?
Laurent Kabila aliendesha Mapambano ya kumtoa Mobutu akitokea Mikocheni
Rajab Hussein na Pierre Nkurunzinza walikuwa wakiendesha Mapambano ya kuwatoa kina Pierre Buyoya kutokea Buguruni kwa Mzee wa Kibwali Mzee Mnenge
Yoweri Kaguta Museven kaongoza Vurugu Uganda akiwa Dar
Edward Mondlane kaongoza Vurugu za Msumbiji akitokea Dar
Paul Kagame kaongoza Vurugu Rwanda akitokea Uganda
Hata Prof Wamba alikuwa akiongoza Vita akiwa Dar!
sijuiAnakunywa chan'gaa?
Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.kwenye muendelezo huo huo...
1. kwa nini jamaa wa boyz 2 men alienda london kumuua kwa sumu kwenye viatu prof kighoma malima?
swali lingine nitalileta nikishasali witr
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.Huu mjadala umekua namafundisho makubwa mno, umenifanya nitafakar kuhusu ushabaki wangu wasiasa inaonekana kunamengi sana yamefanyika nayanafanyika ilikuieka hii nchi salama
Wewe una kichwa kizito sana,au siyo mtanzania?
unaona kabisa kuwa sabasaba inaanzia tarehe 1/7/..-viongozi wabaenda tarehe 4/7/ ... ila kilele ni tarehe 7/7 unatuchosaha bana.
Bora uwe unasoma tu,siyo lazima kuchangia,mtanzania hujui hata sabasaba?
prof Dia Wamba aliendesha mapambano akiwa dar au congo?