Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Pohamba umepatwa na nini au umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi katika maisha yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Just a joke bro, don't take it seriuosly
 
hiyo katiba kupatikana sasa ndio shughuli [emoji17]
 
Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.
Ha ha ha nimekuelewa sana mkuu, ni kama mzazi kwa mtoto hudhani ataweza kum control mtoto hata akikua na kuwa na familia, kumbe mtoto akikua huwa anamaamuzi yake na mshua hubaki kutoa ushauri tu ambao unaweza ukafuatwa au usifuatwe ha ha
 
Haha mmakua hakuwataka boys2men!! Alimpa dossier Kali kinana na Mangula wawashughulikie!! Kilichotokea ni historia!! Mzee akasalimu amri katikati ya pambano!!!


Nimekumbuka kitu hapa.

Prof, Dr, halafu mvulana akawa wa tatu, ila sijui nini tena!
 

Hivi ni kipi kilianza? Ni Msiba au msamaha? Wakati mwingine unapo andika Jambo lolote uhakikishe una uhakika nalo haipendezi kuandika uwongo.
 
Nyie hebu kila mmoja amuingilie mwenzie PM mmalizane kiu zenyu huko, mnaturefushia huu uzi kwa malumbano ya adolescence.


povu la nini?

kama hujui kaa kimya.

yawezekana hayo majibizano ndiyo yame update uzi na ukaweza kuona hayo unayosema mazuri.

Ama kweli kuna watu na miti
 
Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.


Mkuu nimekuheshimu hizi habari si za kitoto
 
Mzee katiba mpya ambayo tunaitaka sisi sote wananchi wa Tanzania ni ngumu kuipata... Ila usishangae tukapata katiba mpya ambayo itawaweka watu kwenye kigoda kwa muda mrefu....
 
hiyo katiba kupatikana sasa ndio shughuli [emoji17]
Wananchi wakiamua watapata katiba yao pale ambapo wataamka kutoka usingizini . Watu wanahisi kudai katiba ni suala la Mbowe na Hashim Rungwe hilo ni suala la wote hata kwa sisi diaspora .

When we will change our minds and attitudes tutapata katiba siyo hicho cha chama kimoja.
 
Hii ID ni Pohamba au imehakiwa?

Anway, sasa mkuu, mbona mtoa mada anadai mzee kadanja 7/4 akitokea sabasaba wakati sabasaba ni tareh 7/7?
Punguza maji kwenye kichwa chako, sherehe za ufunguzi za sabasaba na kugawa zawadi huwa hazifanyiki kwenye kilele cha tarehe, huwa kabla ya 7/7
 
sure, ila Diaspora wengi ni wanafki sio wa kuwategemea hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…