Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Acheni tu wacongo wapambane, wanadhulumiwa sana hasa na Kagame.Unadhani kwanini Muamerika anapindua serikali zingine? Kwanini jeshi la kagame haliondoki Kongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni tu wacongo wapambane, wanadhulumiwa sana hasa na Kagame.Unadhani kwanini Muamerika anapindua serikali zingine? Kwanini jeshi la kagame haliondoki Kongo?
Pohamba umepatwa na nini au umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi katika maisha yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Just a joke bro, don't take it seriuoslyHorace Kolimba (Kinana wa wakati huo) akaanza kukinanga Chama na Serikal hadharani akaitwa kujieleza kwny Kamati kuu, Mama Yake Mzazi alimkataza asiende Dodoma lakin Yeye na usomi na ujuaji wake akabeba Makabrasha ya ushahidi wa hoja zake
Alirudishwa kwny sanduku!
Sometime huwa nasema hata Yale maradhi ya Hayati Aboud Jumbe yaliyoanza baada ya kupinduliwa Dodoma Jan, 1984 pengine yalilenga 'kudumisha Muungano'
hiyo katiba kupatikana sasa ndio shughuli [emoji17]Kakobe yeye anaweza akatapika mpaka nyongo ila kamwe atakua anatwanga maji kwenye kinu . Hivi mnakumbuka ule waraka wa kakobe aliomuandikia Khalfani Kipindi kile akidai umetoka kwa Mungu ? Tatizo mnasahau labda changamoto za kimaisha !
Siku atakapotoa neno mwanakitengo a.k.a Dar archbishop hapo ndipo nitajua tunaelekea ukombozi kupitia pia viongozi wa dini Ila kwasasa there is nothing going on. Take it from me bila katiba mpya ccm itatawala milele
Huyo prof Dia wamba aliendesha mapambano akiwa dar au Congo??
Boyz 2 men,,,,,,,siku hizi walishagombana ingawa hawa kukutana barabaranini 3 chief wapo huko amerika.
ni 3 chief wapo huko amerika.
Ha ha ha nimekuelewa sana mkuu, ni kama mzazi kwa mtoto hudhani ataweza kum control mtoto hata akikua na kuwa na familia, kumbe mtoto akikua huwa anamaamuzi yake na mshua hubaki kutoa ushauri tu ambao unaweza ukafuatwa au usifuatwe ha haSio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.
Haha mmakua hakuwataka boys2men!! Alimpa dossier Kali kinana na Mangula wawashughulikie!! Kilichotokea ni historia!! Mzee akasalimu amri katikati ya pambano!!!
Mkuu bado ujanishawishi inshu ya BABU SEYA naona Hamna mausiano na KIKWETE ila siasa tu imeingizwa .labda nikuhulize swali hivi inshu ya SEYA haina mahusiano na siasa za Kongo kwa kabila maana baada ya BABU SEYA kutoka jera baada ya week kama tatu nne hivi tukapata msiba huko Kongo wanajeshi wetu 12 wameuwawa na wengine kama 40 majeruwi uwoni kama kuna kitu nyuma ya panzia
Nyie hebu kila mmoja amuingilie mwenzie PM mmalizane kiu zenyu huko, mnaturefushia huu uzi kwa malumbano ya adolescence.
Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.
ni 3 chief wapo huko amerika.
.........
hizi sumu za kafie mbele ni noma
Mzee katiba mpya ambayo tunaitaka sisi sote wananchi wa Tanzania ni ngumu kuipata... Ila usishangae tukapata katiba mpya ambayo itawaweka watu kwenye kigoda kwa muda mrefu....Kakobe yeye anaweza akatapika mpaka nyongo ila kamwe atakua anatwanga maji kwenye kinu . Hivi mnakumbuka ule waraka wa kakobe aliomuandikia Khalfani Kipindi kile akidai umetoka kwa Mungu ? Tatizo mnasahau labda changamoto za kimaisha !
Siku atakapotoa neno mwanakitengo a.k.a Dar archbishop hapo ndipo nitajua tunaelekea ukombozi kupitia pia viongozi wa dini Ila kwasasa there is nothing going on. Take it from me bila katiba mpya ccm itatawala milele
Nawajua wawilii wa tatu ni Yupiiini 3 chief wapo huko amerika.
Wananchi wakiamua watapata katiba yao pale ambapo wataamka kutoka usingizini . Watu wanahisi kudai katiba ni suala la Mbowe na Hashim Rungwe hilo ni suala la wote hata kwa sisi diaspora .hiyo katiba kupatikana sasa ndio shughuli [emoji17]
Punguza maji kwenye kichwa chako, sherehe za ufunguzi za sabasaba na kugawa zawadi huwa hazifanyiki kwenye kilele cha tarehe, huwa kabla ya 7/7Hii ID ni Pohamba au imehakiwa?
Anway, sasa mkuu, mbona mtoa mada anadai mzee kadanja 7/4 akitokea sabasaba wakati sabasaba ni tareh 7/7?
sure, ila Diaspora wengi ni wanafki sio wa kuwategemea hata.Wananchi wakiamua watapata katiba yao pale ambapo wataamka kutoka usingizini . Watu wanahisi kudai katiba ni suala la Mbowe na Hashim Rungwe hilo ni suala la wote hata kwa sisi diaspora .
When we will change our minds and attitudes tutapata katiba siyo hicho cha chama kimoja.