Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma




Ngoja ninywe maziwa kwanza halafu nije kusoma tena
 
Na waliye mtarget ingempata ingekuwaje?

Targeted na aliekuwemo Sabasaba na Hayati Dkt Omar alikuwa ni Joseph Laurent Kabila sio Yoweri Kaguta Museveni!

Kipindi hicho Joseph Kabila alikuwa anapambana na Waasi waliokuwa wanajiita Banyamulenge waliokuwa wamejificha Misitu ya Mashariki ya Congo na lengo Lao lilikuwa kuipindua Serikali.

Kiongozi wa Waasi Hao alikuwa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dat es Salaam akiitwa Prof Wamba Dia Wamba!

Nimeshakutafunia, kazi yako ni kuunganisha dots tu.
 
Inasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa Serikali iliyokuwepo madarakani kwa sababu alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:

1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwanini walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono

2. Walipohukumiwa kunyongwa Rais Mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais Kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..

Inasemekana kulikuwa na mkono wa Kagame kwenye haya mauaji
 
Mapinduzi ya Congo sisi Watanzania Yanatuhusu nini? Naomba unieleweshe
 
hapa kuna jabo llilofichika??
 



Dah malizia mkuu
 


kagame anaingiaje tena hapa?

cc Jestkilla a.k.a Jestina Hikizimana
 
Huyo prof Dia wamba aliendesha mapambano akiwa dar au Congo??
 
prof Dia Wamba aliendesha mapambano akiwa dar au congo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…