Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya 1977 hadi 1989, Mhe Lowassa alikuwa akifanya kazi kama mwajiriwa wa chama cha TANU na baadaye CCM, alikuwa Kada wa Chama. Mwaka 1984 wakati Sokoine anafariki Mhe Lowassa alikuwa Uingereza akichukua Masters ya Development Studies, University of BATH.
Itakuwa umechanganya Sokoine na Chacha wangwe, Chacha Aliuawa na wahafidhina ila Sokoine alikufa kwenye ajali ya kawaida ya gari!
Wewe ndondocha tunapekuwa mambo ya maana unatuletea akili yako finyu kama ulivyo.
Toka kwenye thread hii kama unashindwa kuleta mawazo yenye ncha hapa mj....ing..a wee!
UNANIUDHI WEWE HUJUI TU!
Waulize Dr Kashimba alie na Siri aina ya majeraha ambayo hata Familia ilikataliwa kuona, pia Muulize Mzee Kizota yule mwenye Bar viwanja vya Saba Saba, alikuwa bodi gadi yake, wakimbizi waliokuwepo maeneo ya karibu na ajali wanadai kuona bodi gadi huyo akifyatua risasi, muda mfupi tu baada ya mheshimiwa kutoka nje ta gari kujaribu kukimbia. Muulize Mwalimu Nyerere aliekuwa Rahisi wa Tanzania
Ha ha ha!Una uwezo wa kupekua jambo likapekulika wewe?
kwa kifupi kifo cha Sokoine kilipangwa kitaalam kuliko wengi tujuavyo. Sokoine alipigwa lisasi kwanza ndo akagongwa na gari ili kupoteza ushahidi....hata uchunguzi wa dactari ulithibitisha kuwa mwili ulikuwa na tobo ya lisasi, na alivytaka kutoa taarifa akafungwa mdomo, vinginevyo na yeye angemalizwa. Hizi habari huwezi zipata kwa vitabu wala aticles
Mkuu mbona mnazidi kuleta majibu yenye utata. kwanza unasema gari iliyosababisha ajali ndio hii apo juu (Toyota Land Cruser) alafu ushaidi mwingine huu hapa chini unaonyesha gari ingine iliyosababisha ajali.
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar Es Salaam
![]()
Ni kweli mkuu sokoine amesha kufa ila yawezekana hujui umuhimu wa kuwa na taarifa kamili kwenye vifo vilivyoo jaa utata kwa maslahi binafsi ama ya umma, sometimes ni very risk kudadisi haya mambo but inabidi tu iwe hivyo kutokana na mambo kadha wa kadha.
Mwambie atafute kwanza utata ishu nzima ya Daudi Balali. Ilitokea juzi juzi tu wakati yeye keshazaliwa.Mbona haukuweka huo utata ambao wewe ndio ulibaini?.
Mwambie atafute kwanza utata ishu nzima ya Daudi Balali. Ilitokea juzi juzi tu wakati yeye keshazaliwa.
Nashukuru kwa majibu mazuri Mkuu!
Je? Aliweza kuja na kushiriki mazishi ya Sokoine kweli?
Mchawi huwa ana hofu sana kushiriki mazishi ya mtu ambaye alishiriki kumwua...... tetesi ni kwamba Lowassa, Cleopa, Kawawa ndiyo waliompoteza Sokoine kwakuwa alikuwa kinara wa kupiga vita uhujumu uchuni
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar Es Salaam
![]()
Hiyo gari aliyopata nayo ajali sokoine imehifadhiwa makumbusho au wapi?
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar Es Salaam
![]()
Hiyo gari aliyopata nayo ajali sokoine imehifadhiwa makumbusho au wapi?
Swali zuri sana Chinga One.
Mungi hebu pitia na hapa kidogo!