Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine



Nashukuru kwa majibu mazuri Mkuu!
Je? Aliweza kuja na kushiriki mazishi ya Sokoine kweli?
 
Itakuwa umechanganya Sokoine na Chacha wangwe, Chacha Aliuawa na wahafidhina ila Sokoine alikufa kwenye ajali ya kawaida ya gari!


Wewe ndondocha tunapekuwa mambo ya maana unatuletea akili yako finyu kama ulivyo.
Toka kwenye thread hii kama unashindwa kuleta mawazo yenye ncha hapa mj....ing..a wee!

UNANIUDHI WEWE HUJUI TU!
 
Wewe ndondocha tunapekuwa mambo ya maana unatuletea akili yako finyu kama ulivyo.
Toka kwenye thread hii kama unashindwa kuleta mawazo yenye ncha hapa mj....ing..a wee!

UNANIUDHI WEWE HUJUI TU!

Una uwezo wa kupekua jambo likapekulika wewe?
 

Na VIPI CLEOPA DAVID MSUYA ambaye alikuwa anagoma kupekuliwa kwa ULANGUZI yeye na RAFIKI ZAKE wa KIHINDI? HUO NDIO ULIKUWA UGOMVI MKUU

Sio eti RAHISI wa TANZANIA... Acheni kupindisha Maneno Wanakijiji
 
Una uwezo wa kupekua jambo likapekulika wewe?
Ha ha ha!
Unanikumbusha nafikiri mwaka 1972/3 wakati waandshi wa habari wawili, Carl Bernstein na Bob Woodward walipokuwa wanachunguza kashfa ya Rais Nixon, walipewa kavu kavu walipoenda ofisi moja nyeti.

Wao walienda kwa sheria ya uhuru wa magazeti, na wakasema"we want to know the truth about the Watergate scandal"
Huko walimkuta ofisa mmoja mkali kweli kweli akawajibu, " can you HANDLE the truth?"

Jamaa walipoelewa wakaishia.

Katika hili la Sokoine, the truth can be explosive, let bygones be bygones.
 

ila utazipata kwenye kahawa? right?
 

Hili gari lililopondeka ni Mercedes-Benz 200 (series 123) aliyokuwa akisafiria Sokoine. Hapa ni baada ya kugongana na pickup iliyokuwa ikiendeshwa na Dumisani Dube. Mercedes-Benz aliyokuwa akitembelea waziri mkuu enzi hizo lilikuwa na gari la kawaida sana ikilinganishwa na hizi Toyota Land Cruiser V8 na magari mengine ya kifahari yanayotumiwa na viongozi wa sasa.
 

kaka kilicho wazi ni kuwa sokoine alikufa kwenye ajali! wakati ule tuliokuwepo tulikuwa tunaiamini sana serikali yetu, sidhani kama kuna yeyote hapa atakayekupa taarifa tofauti na hii ya ajali, those times government was real a government, kama kulikuwa na siri nyingine nyuma ya ajali, amini hakuna atakayekupa, usalama wa taifa ulikuwa imara sana (nyakati zile tulikuwaga tunasema serikali ina masikio marefu) kumaanisha hata ukiongea mambo yako kwa siri utakamatwa tu! so usijidanganye hapa, no ONE KNOWS exactly what the issue was! usalama wa taifa wa wakati ule walikuwa wamefundwa kwelikweli, siri ni SIRI KWELI!
 
Mwambie atafute kwanza utata ishu nzima ya Daudi Balali. Ilitokea juzi juzi tu wakati yeye keshazaliwa.

We jamaa unakomaa na ishu ya balali wakati mada ina muhusu sokoine we niaje bana? kama hauna cha kuchangia si upige kimya tu.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri Mkuu!
Je? Aliweza kuja na kushiriki mazishi ya Sokoine kweli?

Mchawi huwa ana hofu sana kushiriki mazishi ya mtu ambaye alishiriki kumwua...... tetesi ni kwamba Lowassa, Cleopa, Kawawa ndiyo waliompoteza Sokoine kwakuwa alikuwa kinara wa kupiga vita uhujumu uchuni
 
Mchawi huwa ana hofu sana kushiriki mazishi ya mtu ambaye alishiriki kumwua...... tetesi ni kwamba Lowassa, Cleopa, Kawawa ndiyo waliompoteza Sokoine kwakuwa alikuwa kinara wa kupiga vita uhujumu uchuni

Nimesha anza kupata connection ya utajiri wa lowassa,ila kwa kawawa napata shida kuamini kidogo alishiriki hii kitu kwa madhumuni gani? maana kama ni kwa lengo la kufanya biashara ya kilanguzi mbona mzee mfaume kafa hana hata hela ya kununulia shuka?
 
 
Last edited by a moderator:
Mimi binafsi kila nikifuatilia movie hii huwa inaniuma sana, yaani unalia kabisaaaaaaa, yaani hii movie ni kama ya Titanic ambayo stering anauwawa.
Kila nkisoma habari za hii movie huwa nakumbuka msemo huu, "Tanzania has lost a rightful hair"
Swali moja nmelipenda can we handle the truth?, kwa wakati ule nadhani isingewezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…