Nilikujua hata kabla hujazaliwa...kuna watu wamepinduka kwenye gari, gari likawa scrap wao mpaka leo wanaishi. maana yake ni kuwa kila nafsi itaonja mauti kwa namna ambayo hakuna anayeweza kukitabiri. Sitaki kukubali wala kubisha kuwa mkapa alihusika au hakuhusika na kifo cha mwalimu, swali la msingi kwa wasomaji, ni nani anajua mwalimu angekufa kifo cha aina ipi na lini? kwa pressure, malaria, ajari, cancer,.... na mwaka jana, juzi, mwaka huu, etc. Nani anaweza ku-prove? Kuua ni dhambi na kinyume cha sheria za nchi, kama vicent anaushaidi wa mzee mkapa kuhusika na kifo cha mwalimu, kwa maoni yangu haina maana sana kusema tu badala ya kuchukua hatua za kisheria ili ikithibitika pasipo mashaka sheria ichukue mkondo wake.