Kumbe tatizo lako hutaki historia iandikwe, sisi wengine tunataka tujue kwa nini Mkapa alimuua Nyerere, ili siku nyingine viongozi kama Kikwete wajifunze wasije wakarudia makosa aliyoyafanya Mkapa, na wajue kuwa hata wafanye mambo yao wakiwa wamejifungia ikulu kwa siri kuna siku siri itawekwa peupe.hujaelewa mantiki ya maelezo yangu wewe
Nyerere atabaki kuwa nyerere na ataendelea kukumbukwa kwenye historia ya tanzania kama walivyo wengine lakini kuanza kuanzisha maada zisizo na maana au matinki haina sababa, na wala haitokuja kuandikwa kwa gazete au vitabu vya historia kuwa Mkapa ndo alisababisha kifo cha nyerere
tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
wajinga tupo wengi kweli, hatutaki haki itendeke kwa vile tu muda umepita na aliyekufa harudi, hivi mtu akimuua baba yako, kaka yako au nduguyo yeyote wa karibu utasema mwacheni aendelee na sgughuli zake maana mfu hafufuki? utumbo mwingine haupaswi kabisa kusemwa mbele za watu. yapasa tujipime vuwezo kwanza kabla ya kutoa hoja yeyote. tafadhalitumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
ukweli ndio msingi wa kuleta maendeleo unayoyataka, unapoukataa ukweli jua utakaa karne hata kumi bila kupata hayo maendeleo, kama ambavyo huwezi kujenga nyumba bila msingi ndivyo hivyo huwezi kuwa na maendeleo bila ukweli, ndio maana nchi zilizoendelea wanazidi kutumia tekinoljia kutafuta ukweli wa kitu, katika jambo lilijificha uvumbuzi ndipo hutokeaTufike mahali tibadili mwelekeo wa siasa zetu. We cant always bank on conspiracy theories. Umaarufu wa kisiasa sasa uje kwa kutegemea utawasaidiaje watanzania kuondokana na umaskini na utawaleteaje maendeleo. Kuumbuana kisiasa tumefanya sana we now need a different tune. Mambo ya siokoine aliuwawa, ooh xy kapewa sumu, ooh bcd amelogwa haitusaidii na tumechoka.
Ni miaka mingi imepita tangu Mwalimu alipofariki bila hoja za namna hii kuibuka. Iweje kampeni za Jimbo la Arumeru mashariki ndiyo iwe chanzo? Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani....amina.
Kwa wale tunaoamini vitabu vya dini tunaamini kwamba kila jambo na wakati wake. Huu ndio wakati wa hili jambo na hata wakijaribu kiasi gani hawawezi kuzuia wati kujua ukweli kuhusu kifo cha Mwalimu.
Acha tupate ukweli wa jinsi walivyomtesa baba yetu wa Taifa.
Lengo la uzu huu ni kuwawezesha watu waujue ukweli. Ukiujua ukweli, ukweli utakuweka huru. Hili ni jambo la kihistoria, mimi kama baba wa watoto wawili natakiwa kuwa na jibu la uhakika siku mwanangu akiniuliza nini kilimuua Nyerere. Nikimdanganya mwanangu halafu akaujua ukweli hataniamini tena mzazi wake. This revelation is a historical moment and all Tanzanians should praise Vince Nyerere...nyie glet thnnkaz nini lengo na madhumuni ya huu uzi?
Mkuu hii siyo siasa za majitaka. Tunataka kufahamu ukweli wa kifo cha Mwl. Nyerere. Hapa kulikua na uzembe wa serikali kumwaisha ktk matibabu baba wetu wa Taifa! Ni uzembe huu ambao bado unaendelea serikalini chukua mfano wa juzi mgomo wa madaktari ambako wananchi masikini wamekufa kwasababu ya jeuri tu ya watawala! Tunamzungumzia Mkapa kwasababu alikua na uwezo wa kuingilia kati mapema mzee wetu apate matibabu! Hapa orodha ya waliozembea ktk ugonjwa wa mzee wetu ni ndefu,kuna waziri wa Afya wa kati huo, Katibu Mkuu Kiongozi,Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Dr. Mwakusya,nk. Hili jambo siyo dogo,na ninavyoijua serikali yetu atakayekuja kujibu ataongeza utata zaidi!Mambo ya siasa za maji taka haya! Tumuache Nyerere apumzike kwa amani. Tumeamua kuvuana nguo na kutukanana kama ndio standard ya siasa za leo za Tanzania. Hakika tutaanza kuvuna tunayopanda.