Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!


You have very limited understanding of these matters.

Hyundai has a contract for MEUs but the picture you posted on here is not EMU.
 
You have very limited understanding of these matters.

Hyundai has a contract for MEUs but the picture you posted on here is not EMU.
Kuzungumzia jambo lolote, sio lazima uwe mtaalamu, hiyo very limited undestanding of these matters, its all that is needed na sisi wananchi wa kawaida na ndio maana tunauliza!.

Hyundai wana contract gani, sijui, watatuletea nini, sijui, hizo MEUs na EMU sizijui ni nini, ninacho jua, wale Eurowagons walipewa tenda kutuletea vichwa 2 na mabehewa 30 ya mtumba kutoka Ujerumani, pesa yote ya kuinunua hiyo mitumba, waliisha lipwa na mitumba wakainunua na kuikarabati 50%, mkataba wao ukavunjwa, hivyo TRC wakachukua mzigo wao, wakampa mtu mwingine kumalizia ile kazi.

Wakati huo Kampuni ya Hyundai ya Korea Kusini ndio wenye tenda ya kutuletea brand new vichwa na mabehewa yake, sasa kilicholetwa ni nini na kitacholetwa ni nini, mimi ni mwananchi tuu wa kawaida wala sihitaji kujua sijui MEUs sijui EMU, hizo tumewaachia nyinyi wataalamu, ila pamoja na kutokuwa mtaalamu, tuna uwezo wa kuona na kutofautisha mpya na mtumba, box body na mchongoko!.
P
 
Wasalaam
Paskali
Paskali

As a lawyer, investigative journalist na mzalendo halisi, opinion yko ni nini juu ya thread yangu hapa chini, now that tunaambiwa more reserve za Helium zimegunduliwa?

Kumbuka kwamba Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kuchimba Helium, maana supply ya Helum kwa sasa inatokana na industrial chemical processes, ambayo sisi tukichimba tutaua hiyo source kwa kuwa kuchimba ni rahisi kuliko kuzalisha kwa chemical process

Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

Mere speculation? See here
Reference: In Photos: Massive Underground Helium Reserve Found in Tanzania
Reference: That huge helium deposit under Tanzania is even bigger than we thought
Reference: Tanzania could become top helium producer - African Business Magazine

You can also refer to this thread
Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani
 
CCM ni ile ile, oh ni ile ileeeee!
Utata wa kivuko kipya awamu Magufuli…


Na sasa utata wa mabehewa mapya awamu ya aliyekuwa makamu wa Magufuli na mrithi wake! Kazi iendeleee!
 

Let me keep it pretty simple by saying:

There are many train contracts given by the government to various companies across the world including freight wagons from companies, such as: China Railway Rolling Stock Corporation (CRRC).

In the passenger train contract, there are three types of contracts: there is first class, second class and third class. Those arrived from Korea are a third class.

Hyundai Rotem was awarded a contract to manufacture high-speed trains (EMUs) Electrical Multiple Units (First Class).
First Class

The Germans have a contract to repair second-hand double-decker trains (Second Class).

Second Class

Nafikiri nimeeleweka.
 
Sijui ni kilevi gani unatumia lakini hii taarifa yako ni B/S. Sijui unajaribu kutetea nini but this up here is HOGWASH!
 
Huu ndio uzuri wa jf, tuna wataalamu humu wa karibu kila fani!. Nimeelimika sana!, thanks.
1. Leo ndio mara yangu ya kwanza kujua kuhusu EMUs na kirefu cha EMUs
2. Ndio nimejua kumbe tutaletewa treni mpya na watu mbalimbali.
3. Ndio nimejua kumbe treni zetu, zitakuja hadi za double deka!.
4. Ndio nimejua kuwa kumbe zaidi ya hizi scepa zilizotangulia, kuna mtumba wa maana tuu utawasili!.
Umeeleweka sana na umesaidia sana, pia tusaidie kuhusu haya mabehewa, ni mapya au used?.
P
 
Asante nitapitia na kuchangia.
P
 
Nimesoma hapo juu kuna mtu kasema wewe nilawyer na mwandishi mchunguzi, ni kweli?? sasa kama wewe ni mwandishi mchunguzi how come hujui EMUs au unanichora?
 

(Njaa huondoa maarifa) japo ulishasema una sifu. Cc.PASCHAL
 
Niliwahi kuuliza, kwani mabehewa kama haya yanatengenezwa kwa shilling ngapi hadi TRC washindwe kuyaagiza wakati wamejenga vituo vya kusifika?.
 
Nimesoma hapo juu kuna mtu kasema wewe nilawyer na mwandishi mchunguzi, ni kweli?? sasa kama wewe ni mwandishi mchunguzi how come hujui EMUs au unanichora?
Ni kweli amini usiamini hakuna mtu yoyote anayejua kila kitu!, amini usiamini, take it from me, leo ndio nimejua kirefu cha EMUs .
P
 
Nimesoma hapo juu kuna mtu kasema wewe nilawyer na mwandishi mchunguzi, ni kweli?? sasa kama wewe ni mwandishi mchunguzi how come hujui EMUs au unanichora?
Kama umeshindwa kumuelewa Pascal Mayalla
Basi utashindwa kabisa kumuelewa popoma fulani aliyesomea CUBA kutoka nchini VENEZUELA
anaitwa GENTAMYCINE

Msome tena Vizuri Pascal Mayalla utamuelewa vema

Sisi tuliosomea CUBA hatupatagi shida katika kuelewa
 
Bw. Kadogosa na waziri wake walishaliweka vizuri suala hili kwamba:
- Hizo bullet train ambazo vichwa vyake vimechongoka kama risasi ni train za mwendo kasi sana. Spidi yake inakaribia spidi ya ndege ya bombardier. Yani kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza unatumia saa mbili tu. Ni mbadala wa ndege. Zenye spidi kali zaidi zinakuwa hazina hata magurudumu wala axle, zinaelea juu ya reli kwa magneto. Huwa hazibebi behewa nyingi na bado hakujawa na bullet trains za mizigo. Ni kwa ajili ya abiria ku connect mji na mji, si za masafa marefu. Bei yake ya nauli ni karibu sawa na ile ya ndege. Hata bei ya kuzinunua ni kubwa sana. Na hata hii electric SGR yetu haikujengwa kupitisha bullet trains za spidi hizo. Kutahitajika modification.

  • Train zinazotufaa sisi ni hizo conventional ambazo spidi yake haizidi 160 km per hour. Zenye uwezo wa kuvuta behewa 100 zenye abiria 8,000 kwa wakati mmoja. Train ya mizigo itaweza kubeba mzigo unaobebwa na semi trailer 500 kwa wakati mmoja kwa spidi ya 120 km per hour. Ni train za kazi na za nauli nafuu sana. Umbo la vichwa vyake halihitaji huo mchongoko wa kukata hewa kama ulivyo ule wa airplane. Umbo la vichwa vyake kwa spidi ya 160 kph ni sawa tu kama la bus la YuTong au la shangingi.
  • Hizo bullet trains watanzania wengi hawataziweza kuzipanda, kwanza wataziogopa na bei yake hawataimudu. Hata hivyo serikali imesikia shauku ya baadhi ya watanzania kutaka kupanda hizo bullet trains. Italeta chache kwa ajili hasa ya ku connect Dar es Salaam na Dodoma. Zinakuwa kati ya moja wapo ya hizi hapa chini.

 
Kama kweli walitamka maneno hayo hawafai kabisa kuwa viongozi wa TRC, maana hata mambo ya msingi kuhusu industry ya reli hawajui.
  • Kwa hiyo zile train ICE Germany zenye vichwa vya kuchongoka hazitumii reli?
  • Bullet train itasafiri kati ya Dar na Morogoro, umbali wa km 180, kwa masaa mawili?
  • Bullet train zinasafiri kati ya mji na mji, si masafa marefu?
  • Watanzania ni wajinga kiasi cha kusema wanataka SGR yetu itumiwe na bullet trains?
Hayo ndio maneno ya Kadogosa na Waziri wake? Basi ni vihiyo sijapata kuona.
 
Train zetu zitakuwa na urefu wa zaidi kilomita 3 kama hizi hapa chini. Ni trains za hapa kazi tu.


 
Mabehewa ni mapya sema design hio ni y zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…