Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Mteja ni nani ? Mimi na wewe mlipa Kodi ambao tunashangaa na hatukupendezwa au mla 10% mlamba asali ?Mteja ni mfalme, akiomba kutengenezewa kitu kipya kwa muundo wa zamani, unamtengenezea.
P
Vyovyote vile hawa jamaa wamekosea either hawakujua watanzania tunataka nini au wanaendelea kufunika makosa na uozo; bora wakubali kwamba kosa lilitendeka, kama kawaida yao watafute mbuzi wa kumtoa kafara (watanzania watasahau na wataendelea na maisha) kama vile ambavyo Symbion na Dowans zinakufa na kufufuka