Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

Mabehewa ni mapya sema design hio ni y zamani
Muoneni na huyu...kweli wajinga ndio waliwao. Kuandika kwenyewe hajui, sasa huo upya ama uchakavu ataujulia wapi?

Hii ikipata matengenezo kidogo tu na kupigwa rangi tayari zinatutoka Tsh. 2,700,000,000/=
A fool and his money are soon parted!
 
Umeeleweka,ila ulichosema ni from your point of view na sio kutoka kwa mkrugenzi trc au mkataba wowote
 
Duh,, ngoja tuone😕
 
Kaka Paskali, mimi kwangu ni bei ukilinganisha na muonekano. Huwezi nunu yale mabehewa kwa more than 2b kila moja. Not justifiable, unless kuwe na wizi..! Ya Kenya yana nusu ya gharama ya yetu na yana muonekano mzuri sana
 
Mkuu Ngali, hapa IJ inabidi iingie kazini.
P
 
nikuswalike kiduchu tu broo... hiviii... katiba au sheria yetu inaruhusu ununuzi wa VITU CHAKAVU MITUMBA AU VILIVYOTUMIKA???
 
Zimeoneshwa zote hapo zilizobakia kuletwa za abiria.

Video kwa Hisani ya Geza Ulole
 
nikuswalike kiduchu tu broo... hiviii... katiba au sheria yetu inaruhusu ununuzi wa VITU CHAKAVU MITUMBA AU VILIVYOTUMIKA???
Enzi za Richmond sheria ilikuwa hairuhusu serikali kununua vitu chakavu. Baadae tukabadili sheria, tukaruhusu, sasa tunanunua.
P
 
Hii ndiyo Danganyika yetu. Kila mtu anajisemea lake wakati wadanganyika wakiangalia kana kwamba hawana akili.Ukiona wakubwa wanatoa matamshi tofauti ndani ya serikali moja jua kuna tatizo hapa. Hayati Magufuli alituaminisha kuwa Danganyika ingekuwa kama ulaya. Ulaya gani ya kutumia vichwa mitumba kama vile vya watu wala wetu? Kaya mtumba, watu wala mitumba, mawazo mitumba.Kila kitu mtumba isipokuwa ardhi na maji.
 
Usalama wa Nchi Uzingatiwe.
Tunapoelekea, na kwenda bila kujali Ubinadamu....'Human elememt' tutapotezana.

Binafsi, haya mazingaombwe ya "Investments" yanatia Doa. Hata pale tunapoona tangible results.

....be mindful the 'caps' on major Investments areas is sweeping Europe ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…