Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

Mteja ni mfalme, akiomba kutengenezewa kitu kipya kwa muundo wa zamani, unamtengenezea.
P
Mteja ni nani ? Mimi na wewe mlipa Kodi ambao tunashangaa na hatukupendezwa au mla 10% mlamba asali ?

Vyovyote vile hawa jamaa wamekosea either hawakujua watanzania tunataka nini au wanaendelea kufunika makosa na uozo; bora wakubali kwamba kosa lilitendeka, kama kawaida yao watafute mbuzi wa kumtoa kafara (watanzania watasahau na wataendelea na maisha) kama vile ambavyo Symbion na Dowans zinakufa na kufufuka
 
@Pascalmayalla ameshakuwa chawa sasahivi ni mwendo wa kutetea wizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…