Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Jibu analijua marehemu na Mama mchungaji wengine unatuonea
 
Hamuamini mlichokisikia kwa RPC, mna version yenu mliokwisha itengeneza. Mnajaribu kuipotezea lakini akili inakataa, mnataka hata kesho muamke msikie Masanja akisema mke wake alichepuka! Watanzania na umbea duh
 
Cha ajabu hapo ni kipi na hao ni washirika wa kanisa moja. Je angewezaj kwenda peke ake na ye ni mke wa mtu? Labda uje na case nyingne lakini hao hapo lengo wamlinde jamaa maan ni katibu wa kanisa analomiliki mume wa huyo anaetongozwa. Hujui kuwa lengo linaeza kuwa ni kumuonya jamaa kwamba hilo swala aache likiwa kubwa linaeza kuwa na madhara kwa pande zote. Na ni nani anaemuua mtu na kuandika sababu ambazo polisi watamrudia mwenyewe achen kukuza mambo madogo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
majibu yatapatikanaaaaaaa 🤔🤔🤔
 
Haiingii akilini,mke wa bwana mkubwa "kumfuata nyumbani,katibu akisindikizwa na mama ambaye jina lake halijatajwa"!!
,Kwa nini asingeripoti katika uongozi wa kanisa???
Kanisa analomiliki mme wa unaemtongoza unadhani lingeisha vipi? Hao maybe walitaka kumlinda nd maan wakaenda. Ngoj nkupe scenario moja watumishi wa kanisa moja huwa wana kawaida ya kutembeleana so kama mtu kateleza kiwango hicho ili kumlinda mnaeza kuwa kama mnamtembelea normal routine halafu mkamaliza kila kitu huko huko. Sitetei hyo case ila sababu inayotumiwa kwa uchunguzi wa wadau humu hain mashiko.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka kuna uhusiano wa "baba mchungaji na katibu wa kanisa",kama kijana alikataliwa,walishindwa nini kumuita katika uongozi wa kanisa?? Badala yake wakaenda kwake kumuambia aache kutuma ujumbe wa mapenzi??
Mtu ambae una ukaribu nae kiasi fulani unaeza mchoma kirahisi hivo bila hata kuzungumza nae yeye kwanza achen masihara maan huyo siyo stranger hapo kanisani ni katibu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe unaonyesha kuku aliliwa manyoya SAsa labda alitaka kuchonga mzinga.
Ila hii ya kukodi mtu mzima akamuonye mwendazake kwa demu matured uleta shaka,si angekula tu block na kufukuzwa asikae ikulu.
Mama mchungaji anamblock vipi katibu wa kanisa? Na je mchungaji asingehoji? Hii sidhan kama ni point ya msingi mkuu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hii mipolisi ni mijitu ya ajabu sana. Inawezekanaje watoe conclusion wakati uchunguzi bado haujakamilika kwa 100%. Nchi ya kiqumer sana hii.
 
Siku hizi wanawake wamelegea sana.
Ni kujichekesha chekesha tu
Umekua mtu mzima sasa! ndo maana unaona wanawake wako ivo! lkn ki ukweli wanawake wako vilevile walivyo kuwa na mwanao pia akikua atasema ivoivo! (ke wa siku hizi) lkn kwa sasa bado kijana wanamtolea nje!

Neno ''siku hizi'' nililisikia zamani sana! enzi za Babu yake mjombangu mzaa babu mkubwa wa kambo!...mpaka leo nalisikia kwako tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…