Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

dah....mke wa mtu anatongozwa na mume wa mtu. kisha anakwenda kwa mume wa mtu kumpasha na asimjulishe mumewe kuwa subordinate wao amekufuru???
 
Suspicious no 2
Kwa nini masanja akatuma mtandaoni post ya kumsamehe mkewe siku moja baada ya tukio? Alikuwa na haraka gani? Alikuwa anajua kinachoendelea na kitakachotokea!?
Hili nalo linaleta maswali mengi sana. Kuna jinsi mtu aliye guilty anaact kwa jinsi baada ya tukio kutokea. Huenda hii kusamehe labda alishasemehe siku nyingi baada ya kushtukia mchezo na kuamua ni nini atamfanya katibu.
Tukio limetokea, ghafla ushasamehe, na unakimbilia kupost mitandaoni. Sio jinsi ambavyo ungetegemea mtu aact baada ya kufiwa na katibu wake na hapo agundue katibu huyu alijiua kisa mahusiano na mkewe. Sio rahisi kibinadamu
 
Hili tukio la Katibu wa Kanisa lina utata sana, na Polisi nao wanaleta majibu kama haya sasa..!
Hii imeongeza utata zaidi kusema ukweli. Hii ya mke wa mtu kwenda nyumbani kwa mume wa mtu kumtaarifu kuwa hamtaki wala hawezi kuwa nae.
 
Hiyo ni taarifa ya awali ngoja tusubiri wahusika ,Ni kweli sababu inayotolewa haiingii akilini maana mtu anaweza ku stage tukio kwenye kupoteza ushahidi na asiwepo wakati wa utekelezaji
 
Mkuu kwa majibu hayo ya polisi kwa nchi hii. Hilo limepita tayari. Sahauni. Hakuna uchunguzi mwingine hapo. Nani ajisumbue. Na hapo kazi kubwa ilikuwa ni kumsafisha tu huyo mama. Na hata kama ni kumsafisha asitakate hilo hawalijui,ili mradi tu yamepita maji. Hiyo imekwisha
 
Sas hyu kijan kafanywaje jmn mnk hkn taarifa kamili kamili kila kitu Ni utata utata ,kweli hata mm siamini kuwa aliamua kumtumia mam mtu mzima kwenda kumkanya want angetaarifu tu masaanj kisha masanja kufuta kazi na kuto onekana maene ya kaz
 
Yan comment moja ya mtu wa kwanza au mleta mada ina badilisha mawazo ya watu wengi. Hebu jaribuni kutafakari tuache justification kwa zile assumptions tulizonazo sisi.

Wewe unaongelea uchunguzi wa kwenye movie ambao unauona wenzako wanaishi kwenye uchunguzi.

"The Jane Doe Muderrers" kuna mtu kaiona hii documentary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…