mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 772
- 1,119
Na Je huyo mkewe alihusishwa... Kama alihusishwa Je maoni yake yalikuaje? Maana style hii inaonekana kama ilikua kichambo, na kama ndivo ilivo Je huyu mama alikua na Nia ya kuvunja hiyo ndoa au... Yaani haingii akili lini mke kwenda mwenyewe bila mume au baraza la wazee... Huyu mama aliekwenda nae anamengi yakutuambia... This is real cheap investigation...Kitendo Cha mke wa masanja kwenda kwa katibu na mwanamke mwingine ni ushahidi mzuri Sana. Walienda kufanya Nini kwa my anayemsumbua kwanini wasikutane kanisani au neutral place?. Kama ni mauaji mtuhumiwa wa Kwanza ni masanja na huyo mke wake.