Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Ah mkali gwala hii! Mambo ya udetective haya. Unasamehe mkeo kutongozwa na kumkataa mtongozaji?
Yaani kama unaakili za kiditective kumaliza hii movie ni rahisi sana, wanajiingiza kwa kwenye mtego kwa maneno yao tu.
 
Katika ule ujumbe aliocha mwendazake (kama ni wake kweli?) Alisema atamis zana moments walizokua pamoja ni zipo hizo?
 
Kuhusu mlango kufungwa kwa ndani mtu kama ni funguo ndogo anaweza ufunga kwa nje na funguo kurushwa ndani ili ionekane kajifungia.na hospitalini wamesema kuwa hakuwa na alama yeyote ya mapambano kabla y kifo chake zaidi ya kujinyonga.
Hiyo sio justification, kwani kuna ugumu gani kwa muuaji kuwa na funguo zingine za huo mlango na kumuacha maremu na funguo zake ndani yeye akafunga na zake na kuondoka nazo.
 
Bora hata ya hawa mafia wanakuachia dhana dhania kibao kuliko wale shambulio la kijinga la Dodoma ambalo hata kwa akili tu ya kifisi tayari unajua marehemu ndie sterling master.
 
Katika ule ujumbe aliocha mwendazake (kama ni wake kweli?) Alisema atamis zana moments walizokua pamoja ni zipo hizo?
Ujumbe unaonyesha kuku aliliwa manyoya SAsa labda alitaka kuchonga mzinga.
Ila hii ya kukodi mtu mzima akamuonye mwendazake kwa demu matured uleta shaka,si angekula tu block na kufukuzwa asikae ikulu.
 
Naona hapa Masanja anatumia mbinu ya kutotaka kuhojiwa. Na bila kujua kuwa wenye uelewa mpana tunajua kuwa mtu yeyote mwenye mawazo ya kujiua basi anao uwezo wa kuua mtu mwingine vilevile.

Anyway mambo yasiwe mengi, ngoja tunywe mtori nyama zipo chini
 
Katibu kaniudhi kweli angemuendea na mke wa mc pili pili au mwijaku ili kuhitimisha kwa three some ya maana kbsa hao vijana wanajidai Sana

Kijna ameniudhi San mnk kwamab kitendo tu Cha yeye kuwa noticed au spotted bas angeelekea kanisa la pilipili kuhakikisha kwamb anapata nafsi nyingine ya ukatibu au mzee wa kanisa then awachakate

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ur a great thinker.

GENTAMYCINE njoo ujifunze kufikiri
 
Nimeona mnataka kumframe tu mke wa masanja, alienda na mwanamke mtu mzima baada ya kuona Huyo katibu amezidi, sasa nawauliza mlitaka aende na mwanaume mtu mzima ndio akili zenu ziridhike?! …..mmeshaambiwa mawasiliano yanaonesha hawakua wapenzi bado hamridhiki kwa kuwa mke wa Masanja na Muliro ni ndugu mpaka Muliro amprotect monica?
 
Mke wa marehemu Katibu je? Hana Motive?
 
Watoto wa Masanja wapimwe DNA na chombo huru. Kama katibu hana chake pale mniite mbwa.
 
Kuna watu wanamajibu yao ambayo walitaka wayasikie iliwafurahie, kwa kifupi marehemu anapata watetezi kama wote ilihali alitongoza mke wa mwenzie wakati na yeye anamke wake.
 
Ukisema hawakuwa na mapenzi masanja ataulizwa kwann alipost kuwa kamsamehe mkewe bora usema walikuwa nayo angalau kuna kausalama kwa mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…