"Mathayo 12:
40 '' Kwa maana kama vile Yona
+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu
mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu
+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia
+ siku tatu mchana na usiku".
Kama kwa hesabu ya wayahudi siku huanza jioni maana yake mchana wa ijumaa unafutwa kwa kuwa yesu hajaingia kaburini: Siku ya kwanza imeanza jumamosi na tunapata usiku na mchana wake. Siku ya pili inaanza jumapili jioni na tunapata usiku mmoja na kukosekana mchana wa Jumapili.
Au jaalia ijumaa mchana iwe mchana na jumamosi iwe usiku: Hapo tunapata mchana wa ijumaa na jumamosi na usiku wa jumamosi na jumapili: Mchana wa jumapili na usiku wa jumatatu unakosekana.
Bado andiko la Biblia halitusaidiee kuona ishara ikitimia kama kwa Yona.
SIKU TATU MCHANA NA USIKU HAZIPO:
Tafakuri:
Either aliyoyasema Mwana hayakutokana na Baba. Yaani hayakuwa ni ufunuo!
Ushahidi 1: Katika Qur'an Mwenyezi Mungu anasema: Hawakumsulubisha wala hawakumuua! Surat Nisaa (4:157)
Ushahidi 2: Kuna mtu mmoja alipewa msalaba wa Yesu aubebe na hakuna andiko linaonyesha ule msalaba aadaye alirudishiwa Yesu.
Nachelea usema kuwa ule haukuwa mpango wa Mungu. Kwani Mungu husikia maombi ya muombaji. Na mtume wake hasemi jambo likawa kinyume!! Siku tatu zipo wapi????