Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Mkuu upo sahihi kqbisa kwamba kukaa chini ya ardhi for 3 days and and 3 nights ilikuwa ishara na maana ya ishara ni kwamba lazima ifanyike ili kuwa uthibitisho kwa wasioamini

Kwamaana hio basi jua kwamba Friday crucifixion is a fiction .There is no way Jesus angesulubiwa Siku ya ijumaa kwa maana ingeprove kweli wayahudi kuwa yesu alikuwa ni nabii wa uongo

Just soma biblia vizuri majibu yote yapo ila soma kwa akili mpya sio uliomezeshwa Sunday school
 
Shida yetu huwa tunachangia bila kusoma maandiko:
Hebu turejee kwenye maandiko kitabu Cha Esta sura ya 4 mstari wa 16:

16 “Uende, ukusanye Wayahudi wote wenye kuwa Shushani* na mufunge+ kwa ajili yangu. Musikule wala kunywa kwa siku tatu (3),+ usiku na mchana.

Kulingana na wayahudi siku huanza jua linapozama:
usiku/mchana = siku ya kwanza
usiku/mchana = siku ya pili
Usiku/mchana = siku ya tatu.
Na kwa andiko hili walianza kufunga usiku. Mchana wa siku ya tatu (Esta 5:Esta akiwaa bado amefunga alienda kwa mfalme. Na akamuomba ahudhurie kwenye karamu siku itakayofuata. Uelewa wangu.

Tuje kwenye Bishara ya Yesu:
"Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku".

NB: Tofautisha kati ya usiku na mchana na mchana na usiku.

(i)Tuchukulie ijumaa.
Mchana wa ujumaa/usiku wa jumamosi = siku 1
mchana wa jumamosi/usiku wa jumapili = siku 2
NB: unakosekana mchana wa jumapili/usiku wa jumatatu. Na Pia hatuwezi kuiweka ijumaa yote kama siku kwa vile haikuwa desturi ya walivyokuwa wanahesabu wayahudi.
Proof: Void.
(ii) Tuchukulie kwa hesabu ya kiyahudi
usiku wa jumamosi/mchana wa jumamosi = siku 1
usiku wa jumapili/mchana wa jumapili = siku 2: Hapa mchana wa jumapili unakosekana.
Proof: Void.

Hence the whole scenario is void and dubious!
Nabii wa Mungu hawezi kuwa Muongo!!!
Umereason vizuri sana mkuu
Nikuambie tu ile ilikuwa ndonishara pekee therefore lazima itimie otherwise inamfanya yesu kuwa muongo na hakutakiwa kuaminika na yeyote

Watu wengi wanachanganya sabato ,kwenye hiki kisa ukiwa makini utagundua kulikuwa na sabato mbili in a single week ,moja ilikuwa the seventh day sabbath na ya pili ilikuwa the high sabbath .hizi ni aina mbili za sabato ,yesu alisulubiwa before sabbath haikuwa sabato ya jumamosi(seventh day sabbath) Bali alisulubiwa Siku ya maandalio ya high sabbath (biblia IPO clear kabisa kwenye injili ya yohana it was a high sabbath not a weekly sabbath )

Concept ya Friday crucifixion is a fiction
 
Ulishawahi jiuliza kiongozi akitembelea sehemu wanasema ziara siku 2, inamaana siku anayofika na kesho anayoondoka,
Mfano! magu yupo malawi siku 2 kafika leo kesho anaondoka inahesabika siku 2 je! Kamaliza masaa 48?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mark 15:42-47 (NIV)
The Burial of Jesus
42 It was Preparation Day (that is, the day before the Sabbath). So as evening approached, 43 Joseph of Arimathea, a prominent member of the Council, who was himself waiting for the kingdom of God, went boldly to Pilate and asked for Jesus’ body. 44 Pilate was surprised to hear that he was already dead

Mkuu Mtukutu wa Nyaigela jitahidi kusoma Maandiko maana yako wazi.
Yesu alisulubiwa na kufa muda kidogo kabla ya jioni (siku ya Matayarisho/Maandalizi ya Wayahudi = Siku ya Ijumaa), siku moja kabla ya Sabato (Jumamosi).
Joseph wa Arimathea alimzika Yesu mapema kidogo kabla ya Sabato kuingia (Ijumaa jioni kabla ya saa 12) maana Sabato ikishaingia hamna kufanya kazi yoyote.
Nikusaidie tu mkuu ilikuwa ni Siku ya maandalio ya sabato, sawa lakini sio sabato uijuayo wewe ilikuwa Siku ya maandalio ya high sabbath ( sabato kuu) hii haikuwa weekly seventh day sabbath
 
Nakushukuru mkuu kwa kuwa mmoja wa wanaelewa hii kitu. Kwamba kwenye hilo wiki la pasaka kulikuwa na sabato zaidi ya moja. Big up mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Tlg
Nakushukuru mkuu kwa kuwa mmoja wa wanaelewa hii kitu. Kwamba kwenye hilo wiki la pasaka kulikuwa na sabato zaidi ya moja. Big up mkuu
I once wrote an article describing each events that occurred in that week ,about the Sabbaths and how they can be proved in the bible unfortunately sikuweka kwenye cloud storage now sina ningeipost ile document humu
 
Mark 15:42-47 (NIV)
The Burial of Jesus
42 It was Preparation Day (that is, the day before the Sabbath). So as evening approached, 43 Joseph of Arimathea, a prominent member of the Council, who was himself waiting for the kingdom of God, went boldly to Pilate and asked for Jesus’ body. 44 Pilate was surprised to hear that he was already dead

Mkuu Mtukutu wa Nyaigela jitahidi kusoma Maandiko maana yako wazi.
Yesu alisulubiwa na kufa muda kidogo kabla ya jioni (siku ya Matayarisho/Maandalizi ya Wayahudi = Siku ya Ijumaa), siku moja kabla ya Sabato (Jumamosi).
Joseph wa Arimathea alimzika Yesu mapema kidogo kabla ya Sabato kuingia (Ijumaa jioni kabla ya saa 12) maana Sabato ikishaingia hamna kufanya kazi yoyote.
sabato siyo lazima iwe jumamosi
 
Shida yetu huwa tunachangia bila kusoma maandiko:
Hebu turejee kwenye maandiko kitabu Cha Esta sura ya 4 mstari wa 16:

16 “Uende, ukusanye Wayahudi wote wenye kuwa Shushani* na mufunge+ kwa ajili yangu. Musikule wala kunywa kwa siku tatu (3),+ usiku na mchana.

Kulingana na wayahudi siku huanza jua linapozama:
usiku/mchana = siku ya kwanza
usiku/mchana = siku ya pili
Usiku/mchana = siku ya tatu.
Na kwa andiko hili walianza kufunga usiku. Mchana wa siku ya tatu (Esta 5:Esta akiwaa bado amefunga alienda kwa mfalme. Na akamuomba ahudhurie kwenye karamu siku itakayofuata. Uelewa wangu.

Tuje kwenye Bishara ya Yesu:
"Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku".

NB: Tofautisha kati ya usiku na mchana na mchana na usiku.

(i)Tuchukulie ijumaa.
Mchana wa ujumaa/usiku wa jumamosi = siku 1
mchana wa jumamosi/usiku wa jumapili = siku 2
NB: unakosekana mchana wa jumapili/usiku wa jumatatu. Na Pia hatuwezi kuiweka ijumaa yote kama siku kwa vile haikuwa desturi ya walivyokuwa wanahesabu wayahudi.
Proof: Void.
(ii) Tuchukulie kwa hesabu ya kiyahudi
usiku wa jumamosi/mchana wa jumamosi = siku 1
usiku wa jumapili/mchana wa jumapili = siku 2: Hapa mchana wa jumapili unakosekana.
Proof: Void.

Hence the whole scenario is void and dubious!
Nabii wa Mungu hawezi kuwa Muongo!!!
Kweli mkuu .Nabii wa Mungu hawezi kusema ,Three days and three nights halafu awe hamaanishi
 
Jibu hili hapa Kama hutaki kuamini umepotea

Ijumaa mchana15:00-18:59 ::::;SIKU moja mchana

Ijumaa 19:00_23:59:::SIKU moja usiku

Jumamosi 00:00-04:59 SIKU ya pili usiku

Jumamosi 05:00-18:99 SIKU ya pili mchana

Jumapili 00:00-04:59 SIKU ya tatu usiku

Jumapili 06:00-18:59 SIKU ya tatu mchana
Huo ni Utumbo uliooza usituletee ujinga hapa......Wayahudi siku inaaza Saa 18:00.... Wewe na ujinga wako unasema mchana unaaza eti Ijumaa 15:00-18:59 na Jumamosi Mchana unaaza 05:00-18:59...
 
Jibu hili hapa Kama hutaki kuamini umepotea

Ijumaa mchana15:00-18:59 ::::;SIKU moja mchana

Ijumaa 19:00_23:59:::SIKU moja usiku

Jumamosi 00:00-04:59 SIKU ya pili usiku

Jumamosi 05:00-18:99 SIKU ya pili mchana

Jumapili 00:00-04:59 SIKU ya tatu usiku

Jumapili 06:00-18:59 SIKU ya tatu mchana
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta Maarifa. Kama Yesu alizikwa Ijumaa jioni, angemaliza siku moja kaburini Jumamosi jioni na siku ya pili ingisha jumapili jioni , hivyo hivyo siku ya tatu ingeisha jumatatu jioni. Siku inaisha mudailipoanza, Siku moja lazima iwe ni mchana kamili na usiku kamili
 
Jibu hili hapa Kama hutaki kuamini umepotea

Ijumaa mchana15:00-18:59 ::::;SIKU moja mchana

Ijumaa 19:00_23:59:::SIKU moja usiku

Jumamosi 00:00-04:59 SIKU ya pili usiku

Jumamosi 05:00-18:99 SIKU ya pili mchana

Jumapili 00:00-04:59 SIKU ya tatu usiku

Jumapili 06:00-18:59 SIKU ya tatu mchana
Nope!!
 
Nikusaidie tu mkuu ilikuwa ni Siku ya maandalio ya sabato, sawa lakini sio sabato uijuayo wewe ilikuwa Siku ya maandalio ya high sabbath ( sabato kuu) hii haikuwa weekly seventh day sabbath
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini!
Nisaidie, hiyo siku ya maandalio ya Sabato ilikuwa siku gani?
 
Umereason vizuri sana mkuu
Nikuambie tu ile ilikuwa ndonishara pekee therefore lazima itimie otherwise inamfanya yesu kuwa muongo na hakutakiwa kuaminika na yeyote

Watu wengi wanachanganya sabato ,kwenye hiki kisa ukiwa makini utagundua kulikuwa na sabato mbili in a single week ,moja ilikuwa the seventh day sabbath na ya pili ilikuwa the high sabbath .hizi ni aina mbili za sabato ,yesu alisulubiwa before sabbath haikuwa sabato ya jumamosi(seventh day sabbath) Bali alisulubiwa Siku ya maandalio ya high sabbath (biblia IPO clear kabisa kwenye injili ya yohana it was a high sabbath not a weekly sabbath )

Concept ya Friday crucifixion is a fiction
hapo kwenye blue, nieleweshe ilikuwa siku gani ya wiki?
 
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini!
Nisaidie, hiyo siku ya maandalio ya Sabato ilikuwa siku gani?

Kulikuwa na aina kadhaa za Sabato. Soma hizo Aya hapo chini.

Mambo ya Walawi 23:3 “‘Mnaweza kufanya kazi kwa siku sita, lakini siku ya saba ni sabato ya pumziko kamili,+ kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yoyote. Ni sabato kwa Yehova popote mnapoishi.(HII NDIYO SABATO YA KILA WIKI jUMAMOSI)

+4 “‘Hizi ndizo sherehe za Yehova za majira, makusanyiko matakatifu ambayo mnapaswa kutangaza katika nyakati zilizopangwa za sherehe hizo: 5 Katika siku ya 14 ya mwezi wa kwanza,+ wakati wa jioni kabla ya giza kuingia* ni Pasaka+ ya Yehova.

6 “‘Siku ya 15 ya mwezi huo ni Sherehe ya Yehova ya Mikate Isiyo na Chachu.+ Kwa siku saba mnapaswa kula mikate isiyo na chachu.+ 7 Siku ya kwanza, mtakuwa na kusanyiko takatifu.+Hampaswi kufanya kazi yoyote ngumu. 8 Lakini kwa siku saba mtamtolea Yehova dhabihu inayochomwa kwa moto. Siku ya saba kutakuwa na kusanyiko takatifu. Hampaswi kufanya kazi yoyote ngumu.’

Hivyo kuna siku zingine wakati wa Pasaka za kupumzika ,nazo zilikuwa na maandalio yake. Hivyo inapotajwa siku ya Maandalio usifikiri ni Ijumaa tu
 
Ok fine Msabato Nyaigela; Ingependeza kama ungeleta hapa jukwaani the sequence of events baada ya Bwana Yesu kula Pasaka hadi pale alipofufuka kunako siku ya kwanza ya juma.
Matukio yote muhimu yaambatane na siku zake (Jumatano hadi siku ya kwanza ya juma)
Yego mwamba, hizo gospel accounts zako ziwe brief.
 
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku'

Na hicho ndicho kipimo kwamba Yesu pale msalabani hakufa bali alizimia kama jinsi Yona alivyoingia ndani ya tumbo la samaki akaka humo katika hali ya kuzimia hadi alipotemwa nchi k avu na samaki, hivyo Yesu alitoa mfano huo kama mfanano wa jambo lililokuwa limtokee hapo baadaye na jambo la muhimu hapo ni mfanano huu kwamba Yona alimezwa akjwa hai na akatemwa akiwa hai na Yesu alitiwa pangoni akiwa hai na akatolewa akiwa hai.

Utakumbuka kwamba yule askari alimchoma mkuki Yesu mbavuni kuthibitisha kama alikuwa kafa lakini alipochomwa " mara damu na maji" vikatoka, --- hiyo ni ishara ya uhai, kwasababu damu haiwezi toka kwenye mwili uliokufa kwakuwa moyo haufanyi kazi.

Baada ya tukio la kuzinduka (kufufuka) alikutana na wanafunzi wake na akala nao samaki na baadaye akahama kwenda .nchi ya Kashmir (wengine wakasema alipaa)-- alikwenda kashmir kuwahubiri injili waisrael waliokuwepo huko ambao hadi leo wapo na akaishi nao hadi akafariki huko na akazikwa na kaburi lake lipo huko Srinagar mtaa wa Khanyar.

Nenda kwenge youtube tafuta "ROUZABAL SHRINE OF KHANYAR".
 
Back
Top Bottom