CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
NDIPO AKAWAFUNULIA AKILI WAPATE KUELEWA NA MAANDIKO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili yenye watu walienda asubuhi wakakuta ameishafufukaSwali ni je, ijumaa jioni mpaka jpili asubuhi ni siku tatu!!???
Naona mnazunguka tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizikwa Jumatano jioni!N kweli mkuu walikuwa wanahesabu kwa utaratibu kwamba jua likizama siku inaisha na nyingine inaanza.Kwa hiyo kama alizikwa Ijumaa jioni na kufufuka jumapili asubuhi siku tatu hazifiki
Ikawa asubuhi maana yake kuna muda kulikuwa sio asubuhi (12 hrs of the dark) na kisha ikawa jioni (after 12 hrs of the light). Ko ikawa asubuhi ikawa jioni lazima yatimie masaa 24.
Mkuu hujanielewa pamoja na utukutu wangu. Nilichokisema huu utaratibu wa kuhesabu masaa kuanzia saa sita usiku haukuwepo wakati Yesu akisulibiwa. Ulikuja baadaye.
Hivi kwenye maandiko kuna sehemu biblia inasema Yesu alizikwa Ijumaa? Nionesheni neno "Ijumaa" kwenye biblia na mnioneshe neno "Jumamosi".Sawa kwa utaratibu huu ni kuwa Ijumaa inaanza Alhamisi Jioni hadi Ijumaa jioni- siku ya kwanza; Jumamosi inaanza Ijumaa jioni hadi Jumamosi jioni-siku ya pili; Jumapili inaanza Jumamosi jioni hadi Jumapili jioni-siku ya tatu. Lakini yeye alifufuka jumapili asubuhi kabla siku ya tatu haijakamilika!
Na hii hesabu ndio inayotuletea mvurugano huku kwetu kwenye dunia ya sasa.Utaratibu wa Wayahudi ktk kuhesabu siku enzi zile, haukuwa sawa na huu wa kwetu - mfumo wa saa 24.
Siku ya Ijumaa ilianza siku ya Alhamis jioni baada ya jua kushuka - siku ya kwanza
Siku ya Jumamosi ilianza siku ya Ijumaa jioni baada ya jua kushuka - siku ya pili
Siku ya Jumapili ilianza siku ya Jumamosi jioni baada ya jua kushuka - siku ya tatu.
Kwa hesabu za zamani:Je Yesu alikufa siku tatu kama alivyojitabiria au siku tatu (masaa 72) hazikufika au hakumaanisha siku tatu kamili? ( siku tatu za Yesu zilikuwa za masaa 72?)
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku'' (Mathew 12:40For as Jonah was three days and three nights in the belly of a huge fish, so the Son of Man will be three days and three nights in the heart of the earth.)
Kumbuka hili ni jibu la Yesu wakati akitaka kuwathibitishia mafarisayo na walimu waliotaka ishara kutoka kwake Mathayo12.38 Ndipo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema: “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” . Hivyo akatumia mfano wa Yohana kwa kuwaambia atakaa chini ya moyo wa ardhi kama alivyokaa Yona kwa siku tatu. Kwa hiyo hii ilibaki mioyoni mwao kama kipimo cha ukweli wake. Angefufuka kabla siku hizo tatu hazijafika mafarisayo wasingemuelewa. Wangemuita muongo na hakutoka kwa Mungu.
Kuna waalimu hufundisha kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa na wanaiita Ijumaa kuu ( Good Friday) na akafufuka Jumapili asubuhi na mapema.Je kuna ukweli hapo? Tukiamini kwamba Yesu alikufa Ijumaa mchana na akazikwa jioni kabla ya Sabato na kufufuka Jumapili asubuhi sana, Je siku Tatu zilitimia?
Kwa hesabu hizi alilala ijumaa usiku, akashinda jumamosi mchana na jumamosi usiku.
Je hizo ni siku tatu mchana na usiku kwa maana ya three days and three nights.
Wajuzi wa mambo tuelimishane hii ipoje
Kwani Jonah alikufa alipokuwa tumboni mwa samaki?Je Yesu alikufa siku tatu kama alivyojitabiria au siku tatu (masaa 72) hazikufika au hakumaanisha siku tatu kamili? ( siku tatu za Yesu zilikuwa za masaa 72?)
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku'' (Mathew 12:40For as Jonah was three days and three nights in the belly of a huge fish, so the Son of Man will be three days and three nights in the heart of the earth.)
Kumbuka hili ni jibu la Yesu wakati akitaka kuwathibitishia mafarisayo na walimu waliotaka ishara kutoka kwake Mathayo12.38 Ndipo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema: “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” . Hivyo akatumia mfano wa Yohana kwa kuwaambia atakaa chini ya moyo wa ardhi kama alivyokaa Yona kwa siku tatu. Kwa hiyo hii ilibaki mioyoni mwao kama kipimo cha ukweli wake. Angefufuka kabla siku hizo tatu hazijafika mafarisayo wasingemuelewa. Wangemuita muongo na hakutoka kwa Mungu.
Kuna waalimu hufundisha kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa na wanaiita Ijumaa kuu ( Good Friday) na akafufuka Jumapili asubuhi na mapema.Je kuna ukweli hapo? Tukiamini kwamba Yesu alikufa Ijumaa mchana na akazikwa jioni kabla ya Sabato na kufufuka Jumapili asubuhi sana, Je siku Tatu zilitimia?
Kwa hesabu hizi alilala ijumaa usiku, akashinda jumamosi mchana na jumamosi usiku.
Je hizo ni siku tatu mchana na usiku kwa maana ya three days and three nights.
Wajuzi wa mambo tuelimishane hii ipoje
Kwani nyie SDAs mnaamini kuwa Bwana wetu Yesu Kristo alifufuka siku gani?N kweli mkuu walikuwa wanahesabu kwa utaratibu kwamba jua likizama siku inaisha na nyingine inaanza.Kwa hiyo kama alizikwa Ijumaa jioni na kufufuka jumapili asubuhi siku tatu hazifiki
.......inawezekana pia kwa hesabu za kipindi hicho jumapili ikawa sio siku ya kwanza ya juma!Na hii hesabu ndio inayotuletea mvurugano huku kwetu kwenye dunia ya sasa.
Ndio maana wanasema kuwa siku ya kwanza ya juma (Jumapili) Yesu alifufuka katika wafu...na hii ndio sababu ya wakristo wote ulimwenguni kusali siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
ukihesabu hivi unapingana na unabii wa Yona kukaa tumboni mwa nyangumi siku 3 usiku na mchana!Kwa hesabu za zamani:
Ijumaa siku ya kwanza....jua likizama moja imekwenda hiyo....
Jumamosi siku ya pili...jua likizama mbili imekwenda hiyo...
Jumapili siku ya tatu....
Ref.Kwa kalenda ya mfalme Augusto
Hata yule nyoka wa shaba ni unabii pia....pia Isaka kumtoa mwanae nao ni unabii.ukihesabu hivi unapingana na unabii wa Yona kukaa tumboni mwa nyangumi siku 3 usiku na mchana!
maana ili unabii uonekane kwamba umetimia ni jambo litendeke vile vile kama lilivyotabiriwa
Unahoja usikilizweJe Yesu alikufa siku tatu kama alivyojitabiria au siku tatu (masaa 72) hazikufika au hakumaanisha siku tatu kamili? ( siku tatu za Yesu zilikuwa za masaa 72?)
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku'' (Mathew 12:40For as Jonah was three days and three nights in the belly of a huge fish, so the Son of Man will be three days and three nights in the heart of the earth.)
Kumbuka hili ni jibu la Yesu wakati akitaka kuwathibitishia mafarisayo na walimu waliotaka ishara kutoka kwake Mathayo12.38 Ndipo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema: “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” . Hivyo akatumia mfano wa Yohana kwa kuwaambia atakaa chini ya moyo wa ardhi kama alivyokaa Yona kwa siku tatu. Kwa hiyo hii ilibaki mioyoni mwao kama kipimo cha ukweli wake. Angefufuka kabla siku hizo tatu hazijafika mafarisayo wasingemuelewa. Wangemuita muongo na hakutoka kwa Mungu.
Kuna waalimu hufundisha kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa na wanaiita Ijumaa kuu ( Good Friday) na akafufuka Jumapili asubuhi na mapema.Je kuna ukweli hapo? Tukiamini kwamba Yesu alikufa Ijumaa mchana na akazikwa jioni kabla ya Sabato na kufufuka Jumapili asubuhi sana, Je siku Tatu zilitimia?
Kwa hesabu hizi alilala ijumaa usiku, akashinda jumamosi mchana na jumamosi usiku.
Je hizo ni siku tatu mchana na usiku kwa maana ya three days and three nights.
Wajuzi wa mambo tuelimishane hii ipoje
Ni siku tatu kwa majira Yao Acha kujifanya mtafiti, we vipi.N kweli mkuu walikuwa wanahesabu kwa utaratibu kwamba jua likizama siku inaisha na nyingine inaanza.Kwa hiyo kama alizikwa Ijumaa jioni na kufufuka jumapili asubuhi siku tatu hazifiki
Umeweka maelezo mazuri sanaUtaratibu wa Wayahudi ktk kuhesabu siku enzi zile, haukuwa sawa na huu wa kwetu - mfumo wa saa 24.
Siku ya Ijumaa ilianza siku ya Alhamis jioni baada ya jua kushuka - siku ya kwanza
Siku ya Jumamosi ilianza siku ya Ijumaa jioni baada ya jua kushuka - siku ya pili
Siku ya Jumapili ilianza siku ya Jumamosi jioni baada ya jua kushuka - siku ya tatu.
na ulitimia,Hata yule nyoka wa shaba ni unabii pia....pia Isaka kumtoa mwanae nao ni unabii.
hakuna sehemu iliyosema alikufa, bali alikuwa tumboni ,siku tatu mchana na usikuKwani Jonah alikufa alipokuwa tumboni mwa samaki?
three days, three nightsNi siku tatu kwa majira Yao Acha kujifanya mtafiti, we vipi.
Kwahiyo unataka kusema watu wanaosema miaka 2000 iliyopita zamani yesu alishuka kuzimu mpaka Leo ni elfu mbili ?
Tunazungumza nyakati za biblia sio za dot com