The Chosen Liberator
Senior Member
- Jun 21, 2025
- 123
- 66
- Thread starter
-
- #21
Yaah ukimuona yeye ni sawa na umemuona Mungu kwa maana ya Nguvu na Matendo.Mnataka baba gani zaidi.
Yohana 14:7-9
[7]Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
Ukimuona Yesu umemuona Mungu sababu amebeba sifa zote za uungu na anaweza kusamehe dhambi.[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Hakuna kitu kinaweza kufanya hayo yoote isipokuwa Mungu.Yaah ukimuona yeye ni sawa na umemuona Mungu kwa maana ya Nguvu na Matendo.
Kwani kiuhalisia hakuna binadamu anaweza akamuona Mungu wa pekee wa kweli "YHWH"
1 Timotheo 6:16
"Yeye peke yake asiyeweza kufa, akaaye katika nuru isiyoweza kukaribiwa; ambaye hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona."
Yesu alikufa lakini pia Yesu alionwa na binadamu - Kumbuka Mungu wa pekee wa kweli hafi.
Ukimuona Yesu umemuona Mungu sababu amebeba sifa zote za uungu na anaweza kusamehe dhambi.
Yesu ni mwakilishi.
Kwasababu hoja yako ni kwamba Yesu ndiye Mungu mwenyewe.M
Mwana ni mwili aliouvaa Mungu akiwa duniani.
Uliozaliwq na mwanamke.
Na ndio maana biblia inasema mungu ana wana wengi.
Na ndio maana alipokata roho mwili ukalia baba baba mbona umeniachaaa.
Kwa sababu mungu asingeonja laana ya kifo ila mwili aliouvaa wa sadaka.
Ule mwili ulishamaliza kazi
Mungu akarudi kwenye hali yake ya roho
Maelezo ya meshatolewa na mkuu mmoja hapo juu kitabu cha Tito. Yesu ni Mungu mkuuHoja bila maelezo ya biblia si hoja.
Unajua maana ya mwana.Kwasababu hoja yako ni kwamba Yesu ndiye Mungu mwenyewe.
Huoni hapa ni sawa unasema Mungu mwenyewe hajui siku ile?
Mana kama Mwana hajui siku ya mwisho na Mwana ndiyo Mungu mkuu huyohuyo kama unavyodai - je ni sawa alosema "Sijui siku ile"?
Yesu ni Mungu kwasababu ametokana na Mungu direct kwani ni sawa na wewe ni Binadamu sababu una DNA za ubinadamu lakini wewe ni sawa na baba yako mzazi?Hakuna kitu kinaweza kufanya hayo yoote isipokuwa Mungu.
Mungu hana mbadala.
Jamani yesu ni Mungu.
Biblia inasema ibrahim alitaman aone siku moja tu ya mwana wa adam
Usiseme nikijua - wakati unapaswa kuelezea mkuu.Unajua maana ya mwana.
Ukijua maana ya mwana tu utaelewa ilo fumbo.
Ukisoma Titto1:12 ya kiingereza utaelewa vizuri.Maelezo ya meshatolewa na mkuu mmoja hapo juu kitabu cha Tito. Yesu ni Mungu mkuu
Yaah Mungu alijidhihirisha kupitia Kristo.Maandiko ni mengi ila nakup machache sana .
Kama wewe ni wa kuamini na ulikusudiwa kuamini basi utaamini
1 Timotheo 3:16
[16]Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.
Mungu alidhihirishwa katika mwili,
Akajulika kuwa na haki katika roho,
Akaonekana na malaika,
Akahubiriwa katika mataifa,
Akaaminiwa katika ulimwengu,
Akachukuliwa juu katika utukufu.
Wewe tupo karibu sana kuelewana - God bless you.Mungu ni Cheo, title,ni ukuu na mamlaka.
Yesu ni nguvu ya utendaji na
uponyaji
Thus huwezi fukuza pepo kwa jina la MUNGU au la ROHO Mtakatifu bali kwa jina la Yesu kwa maana lina nguvu ndani yake ya kufukuza giza lolote.
Hili jina lina mwanga likitamkwa kwenye giza utoweka fasta.
Roho Mtakatifu ni uungu au chembechembe za Mungu ndani ya mwanadamu ( intuition/machale,maono).
Nguvu ya kumuongoza mwanadamu atende mema ni kama radar kwa walio katika NURU,ukiingiza Giza tu kwenye maisha yako ROHO Mtakatifu atatoka nduki anamuachia shetani Hilo hekalu kwa maana nguvu mbili haziwezi kaa pamoja.
Maandiko gani unataka?Prove kwa Maandiko mkuu.
Anayezungumziwa kuja ni Yesu. KWA hiyo hapo vyote viwili vinazungumzia KITU kimoja. Tuamaini la utukufu la kuja KWA Mungu mkuu na MwokoziUkisoma Titto1:12 ya kiingereza utaelewa vizuri.
“Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ.”
Hapo "and" imetenganisha ni vitu viwili tofauti.
Kwaio malaika ni miunguYesu ni Mungu kwasababu ametokana na Mungu direct kwani ni sawa na wewe ni Binadamu sababu una DNA za ubinadamu lakini wewe ni sawa na baba yako mzazi?
Lakini hilo halimfanyi awe Mungu wa pekee wa kweli thats why akasema "Wakujue Mungu wa pekee wa kweli" kwamba yeye pia anajijua ana Uungu ila siyo sawa na babaye.
Haya si kwa kila mtu.Yeyeto yule anaepinga utatu Mtakatifu huyo sio Mkristo,kwa maana maandiko yapo wazi kabisa kuhusu fundisho hili.