Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

Kama uko mbinguni kuna mungu baba na mungu mwana na mungu roho.
Basi yupo na mama ,na shangazi, na wifi.
Tusema ukoo mzima.

Ila biblia inasema yesu ndie alieketi kwenye kitu cha enzi. Ambacho ni kimoja tu mbingu nzimaa.
 
Anayezungumziwa kuja ni Yesu. KWA hiyo hapo vyote viwili vinazungumzia KITU kimoja. Tuamaini la utukufu la kuja KWA Mungu mkuu na Mwokozi

" Tazamannaja upezi na ujira wangu uu mikononi mwangu "

KWA hiyo kiswahili na kiingereza vyote Biko sahihi Nayekuja ni Mungu pamoja na Wanadamu. Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu

Rahisi sana
Mungu ni nani? Na muokozi ni nani?
 
Mungu ni Cheo.
KWA Mujibu wa Biblia.
Yesu ni Mungu na Wokozi
Baba Ni Mungu
ROHO ni Mungu
Biblia haisemi kamwe kuwa Mungu ni cheo kama vile mwalimu au rais.

Biblia inamweleza Mungu kama nafsi au uhai halisi, aliye juu ya vitu vyote.

Isaya 45:5 – “Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu hakuna Mungu.”
 
Hivi mnajia asili ya fundisho la miiungu mitatu.
Biblia inasema yesu ni baba yesu pia ni roho mtakatifu.

Yohana 14:8-10
[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

[10]Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.

Yohana 14:16-20
[16]Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;

[17]ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.

[18]Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.

[19]Bado kitambo kidogo na ulimwengu haunioni tena; bali ninyi mnaniona. Na kwa sababu mimi ni hai, ninyi nanyi mtakuwa hai.

[20]Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.


Yesu siku zote amikuwa akiongea kwa mafumbo na mifano,sasa wewe kaa fikiri kuwa ni watu watatu.
Yesu ndie anaerudi.
 
Biblia haisemi kamwe kuwa Mungu ni cheo kama vile mwalimu au rais.

Biblia inamweleza Mungu kama nafsi au uhai halisi, aliye juu ya vitu vyote.

Isaya 45:5 – “Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu hakuna Mungu.”
Vizuri hata kama haisemi hivyo.

Inamtambua being anayeitwa Baba ambaye ni Mungu. ( Yesu alikuwa anamuadress alipokuwa katika ubinadamu)

Inamtambua Yesu kama Mungu ( Mistati mingi)

Inamtambua ROHO mtakatifu kama Mungu ( Petro anamwambia anania na Safira wanamtanganya To ambaye ni Mungu)


Sasa Iwe ni Cheo iwe ni being au utatu au uungu vyovyote vile Biblia bila unafiki Iko clear

Baba = Mungu kama separate
Yesu = Mungu ambaye pia sio Baba
ROHO ni Mungu ambaye pia sio Baba Wala Yesu.

Utendaji wao ndio tofauti.
 
Hivi mnajia asili ya fundisho la miiungu mitatu.
Biblia inasema yesu ni baba yesu pia ni roho mtakatifu.

Yohana 14:8-10
[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

[10]Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.

Yohana 14:16-20
[16]Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
Sijaona mahala Yesu amesema yeye ni Roho kama ulivuodai bali alisema atamuacha roho kama msaidizi.

Yesu atakuwaje roho wakati roho ndiyo anakaa ndani yake.
 
Baba ni Mungu✅
Yesu ni Mungu ✅

Roho ni Mungu🚫 - how?
Kwasababu Roho tunashare wote Baba, Mwana na sisi.
Yesu alisema anaondoka anaenda KWA Baba atakuja msaidizi Mwingine ( sio Baba Wala sio Yesu).

Petro anamuita Roho Mungu. Yaani kumdanganya ROHO walovyofanya anania na mke wake walimdanganya Mungu.
 
Vizuri hata kama haisemi hivyo.

Inamtambua being anayeitwa Baba ambaye ni Mungu. ( Yesu alikuwa anamuadress alipokuwa katika ubinadamu)

Inamtambua Yesu kama Mungu ( Mistati mingi)

Inamtambua ROHO mtakatifu kama Mungu ( Petro anamwambia anania na Safira wanamtanganya To ambaye ni Mungu)


Sasa Iwe ni Cheo iwe ni being au utatu au uungu vyovyote vile Biblia bila unafiki Iko clear

Baba = Mungu kama separate
Yesu = Mungu ambaye pia sio Baba
ROHO ni Mungu ambaye pia sio Baba Wala Yesu.

Utendaji wao ndio tofauti.
So kuna Mungu watatu separatelly?
 
Biblia haisemi kamwe kuwa Mungu ni cheo kama vile mwalimu au rais.

Biblia inamweleza Mungu kama nafsi au uhai halisi, aliye juu ya vitu vyote.

Isaya 45:5 – “Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu hakuna Mungu.”
Ndugu yangu maandiko yapo wazi kabisa.
Ila watu huchaguaa njia .
Mungu aliweka mbele yao uzima na mauti.
Ili watu wenyewe wachague.
Jambo lipowazi lakini mtu anachagua kushikilia fundisho la dhehebu.
Badala yakusimama na neno la Mungu
 
Yesu ni Mungu
Baba ni Mungu
ROHO ni Mungu
KWA Umoja wao ni Uungu
Mungu hana umoja.
Hana chama.
Hana kikundii cha viungu.
Mnavyotaka kusema kuna mungu mkubwa,kuna kadogo na kuna kadogo dogo zaidi.

Inamana na mbinguni atakuwepo mama yao na shangazi
 
Mungu hana umoja.
Hana chama.
Hana kikundii cha viungu.
Mnavyotaka kusema kuna mungu mkubwa,kuna kadogo na kuna kadogo dogo zaidi.

Inamana na mbinguni atakuwepo mama yao na shangazi
Hupingi KWA kutaa.
Unapinga KWA kuonyesha
Yesu Baba na ROHO sio Mungu Kila mmoja katika utofauti wake.

Kazi rahisi kabisa.
 
Back
Top Bottom