Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

Hupingi KWA kutaa.
Unapinga KWA kuonyesha
Yesu Baba na ROHO sio Mungu Kila mmoja katika utofauti wake.

Kazi rahisi kabisa.
Una andiko kuonyesha baba ni mungu,mwana ni mungu na roho mtakatifu ni Mungu.

Hakuna mahali imesema ivyo.
Umetolea wapi
 
Una andiko kuonyesha baba ni mungu,mwana ni mungu na roho mtakatifu ni Mungu.

Hakuna mahali imesema ivyo.
Umetolea wapi
Nimeshaweka hapo juu rejea nyingi tu.
Mfano Yesu ni
Mungu mkuu.
Mungu Mwenye NGUVU
Mungu pamoja nasi (MATHAYO 1:23)
Na mengine MENGI sana.

Kama ni msomi wa MAANDIKO Sina haja ya KUKUPA vifungu maana vimeshatolewa na wengi tu hapo juu. Jikite kwenye hoja ya kukanusaha au kuunga mkono
 
Walifanya vizuri sana kuweka mafumbo, wenye akili tu ndio wataelewa wengine Hadi watazeeka hawataelewa na watachanganyikiwa, watatumia muda mwingi kujaribu kuelewa lakini hawataelewa. Neno moja ninalolijuq Mimi; katika kuishi kwangu ningali hai najua naishi kwa neema ya Kristo Yesu maana katika yeye napata vyote😄😄, Mungu ni roho hajawahi kuonekana kwa mwili ...lakini naamini kupitia mwanawe wa pekee Yesu
 
1)Mwana wa adamu = Mwili wa kibinadamu
2)Baba = Nafsi ya mungu


Yesu akisema mwana umaanisha mwili wake wakibinadamu na akisema Baba umaanisha Nafsi yake ambayo ndiyo mungu mkuu...hivyo nafsi ya mungu ndiyo iliyo kuwa ndani ya ule mwili..
UTATU MTAKATIFU UPO ILA SIYO UTATU WA NAFSI ..utatu wenyewe upo hivi
1)MUNGU NI NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAU USIO NA NAFSI YA BINADAMU .
3)ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja).
Ndiyo maana kilicho kufa msalabani ni mwili wa yesu siyo ile nafsi kwa sababu ile nafsi ndiyo BABA yaani nafsi ya Mungu ...hivyo nafsi ya mungu haiwezi kufa hata sekunde moja .
 
Unasemaje siyo utatu wa nafsi halafu kwenye maelezo umesema tena ni nafsi?

Hapo sijakuelewa - iweke vizuri mkuu!!
 
Ni kama unafuraha sana - hebu ichambue vizuri tujifunze.
 
Rabbon Yesu Anakuja Setfree
 
Unasemaje siyo utatu wa nafsi halafu kwenye maelezo umesema tena ni nafsi?

Hapo sijakuelewa - iweke vizuri mkuu!!
Nimesema siyo utatu wa nafsi kwa sababu nafsi ni moja siyo nafsi 3 ..soma kwa kutumia ...wakristo wadanganywa kuwa utatu ni nafsi 3 za mungu nafsi baba ...nafsi Roho Mtakatifu na nafsi Yesu
 
Dah, mbona andiko lime cover hii kitu unauliza mkuu ????

Au umeruka kusoma sehem ya uzi ???
Mkuu hakuna mahala nimeruka - Mimi huwa sisomi kujibu nasoma kuelewa.

Hivyo hoja yangu iko sahihi.
Nataja kujua - sitaki kubisha.
 
Mimi ni mkatoliki kabisa kindakindaki Jimbo kuu la mwanza parokia ya butimba lakini sikubalianagi na swala la yesu ni MUNGU.
 
Nakubali ila nowadays haya mambo hayapandi shetani kateka ubongo.

Waiter ongesa moja ya moto
 
Nimesema siyo utatu wa nafsi kwa sababu nafsi ni moja siyo nafsi 3 ..soma kwa kutumia ...wakristo wadanganywa kuwa utatu ni nafsi 3 za mungu nafsi baba ...nafsi Roho Mtakatifu na nafsi Yesu
Kama unataka kusema Nafsi ni 1 ila majukumu matatu hapo tuko sambamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…