Utatuzi bei ya mafuta: Serikali punguzeni matumizi ya V8. Mna matumizi makubwa sana, Afrika mpo nafasi ya pili

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Wanabodi,

Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,

Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,

Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila mpangilio,

Kwa Africa,kutokana na report ya Umoja wa watumia diesel Africa, Tz tunashika nafasi ya pili kwa matumizi ya magari yatumiayo MAFUTA kwa wingi,hivyo ushauri wangu ninaanza na gvt tuangalie namna nzuri ya kutumia magari haya

Sio waziri unakuja kutuambia tutegemee MAFUTA kupanda wakati wewe hujui hata Bei ya petrol ni tshs ngapi,ni dharau na fedheha kubwa sana.
 
🤣🤣
 
Kwa kukuibia siri tu ndugu yangu, V8 ina consumption ndogo ya mafuta kuliko engine ya 1hz iliyoko kwenye Hard Top.

V8 inakwenda kilometer 8 hadi 10 kwa liter moja kama ikiendeshwa isizidi speed 100 na kama hakuna foleni wakati 1HZ inakwenda kilometer 8 au chini yake kutegemea na wapi imeendeshwa.

Hata Engine oil V8 inatumia lita tisa wakati 1HZ lita 11.

Tatizo liko kwenye bei za spare na si mafuta.
 
Kwa kukuibia siri tu ndugu yangu, V8 ina consumption ndogo ya mafuta kuliko engine ya 1hz iliyoko kwenye Hard Top. V8 inakwenda kilometer 8 hadi 10 kwa liter moja kama ikiendeshwa isizidi speed 100 na kama hakuna foleni wakati 1HZ inakwenda kilometer 8 au chini yake kutegemea na wapi imeendeshwa. Hata Engine oil V8 inatumia lita tisa wakati 1HZ lita 11. Tatizo liko kwenye bei za spare na si mafuta.
Watumie Rush Toyota, cc1495, mafuta lita 1 kwa kilomita kati ya 17-30 km kutegemea mwinuko ama mtelemko wa barabara, kiasi cha mafuta kwenye tank, na rpm ya kati ya 1.5- 2.5, bila kusahau mzigo uliobebwauliobebwa
 
Kuna watu wapo chenga sana. Sasa unadhani wakipinguza matumizi ndio bei itashuka? Bei ya mafuta inapangwa na soko la dunia na sio V8 za Tanzania.
Umejiuliza kuwa hizo nchi nyingine zina malori mengi ya mizigo kama Tanzania?
Zina migodi kama GGM inayotumia mafuta?
 
Yani wewe ndio chenga kabisa,

MAFUTA ni bidhaa, ipo juu kwa sababu matumizi yake yapo juu.
Kama ilivyo kwa machangudoa Ile ni bidhaa, ipo kwa sababu watafutaji wapo,ngoja wasiwepo uone Kama Kuna mtu ataenda kutafuta
 
Unalijuaa v8 wewee

Hapo ukilipanda, hata cmnt tena kitu kama hii

Ova
 
Kuna watu wapo chenga sana. Sasa unadhani wakipinguza matumizi ndio bei itashuka? Bei ya mafuta inapangwa na soko la dunia na sio V8 za Tanzania.
Umejiuliza kuwa hizo nchi nyingine zina malori mengi ya mizigo kama Tanzania?
Zina migodi kama GGM inayotumia mafuta?
Tunatofautiana sana katika kuwaza.
===
Dar to Dodoma ni kama 600km. Kwa V8 moja itahitaji mafuta ya kutembea 1200km. 1200km gawa kwa 8km/lita ya petrol ni sawa na 150 litres. Bei ya mafuta ya petrol TZS 2564/litre. Jumla ya pesa zote kwa ajili ya mafuta kwenda na kurudi kwa ruti ya Dar to Dodoma ni 150 lita zidisha mara TZS 2564/lita ambapo unapata TZS 384, 750.00.

Kwa utaratibu huo huo hapo juu wa kukokotoa pesa za mafuta. Tutumie gari dogo. Tuchukulie ulaji wa mafuta wa gari hili ni 20km/litre (kumbuka hili gari ula mafuta kati ya 17-30 kwa highway).

Kwa hiyo kwa umbali huo huo wa 1200km. Mafuta yatakayotakiwa ni 1200/20 = 60 litres za petroli. Fedha zitakazotakiwa ni 60 x 2564= TZS 153,900.00.

Misafara ya viongozi wetu unaijua uambatana v8 ngapi.

Sasa kama haujaelewa ukokotozi wa hesabu hizi tusilaumiane hata kidogo. Sawa mkuu?
====
Kupunguza gharama za matumizi za serikali inawezekana. Mbona TTCL wamejaribu kupunguza matumizi kwa kutumia usafiri wa Bajaji kwa baadhi ya maeneo ? Bajaji ulaji mafuta ni kati ya 40 to 55 km kwa lita ya mafuta.
 
Hoja yako haitekelezeki, mimi nafikiri ni serikali na kila mtanzania mmoja mmoja kujiongeza kwa kuanza kutumia gas asilia toka mtwara kwenye magari

Dangote ameonesha mfano kwenye malori yake ni mwendo wa gas tu
Tukitumia gas tunaimarisha uchumi wa ndani kwasababu hatutatumia fedha nyingi za kigeni katika kuagiza mafuta kama ilivyo sasa
Vile vile hakutakuwa na mabadiliko ya bei hovyo hovyo kama ilivyo kwenye mafuta kwasababu waamuzi ni sisi wenyewe

Gas ni bei rahisi sana kulinganisha na mafuta. Binafsi nimefunga mfumo huo na kwa kweli hizi kelele za kupanda mafuta sizielewi maana lita 20 inaweza kukaa miez 6, ni nadra sana kutumia mafuta.
 
Lita 20 za gesi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu pata supu hapo upunguze hangover
 
Wanabodi,

Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,

Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,

Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila mpangilio,

Kwa Africa,kutokana na report ya Umoja wa watumia diesel Africa, Tz tunashika nafasi ya pili kwa matumizi ya magari yatumiayo MAFUTA kwa wingi,hivyo ushauri wangu ninaanza na gvt tuangalie namna nzuri ya kutumia magari haya

Sio waziri unakuja kutuambia tutegemee MAFUTA kupanda wakati wewe hujui hata Bei ya petrol ni tshs ngapi,ni dharau na fedheha kubwa sana.
Good observation.Ni jambo la kushangaza Tzn haina utaratibu wa Ununuzi wa magari kwa kada, yaani DED anaweza jiamulia gari la kununua.
 
Hoja yako haitekelezeki, mimi nafikiri ni serikali na kila mtanzania mmoja mmoja kujiongeza kwa kuanza kutumia gas asilia toka mtwara kwenye magari

Dangote ameonesha mfano kwenye malori yake ni mwendo wa gas tu
Tukitumia gas tunaimarisha uchumi wa ndani kwasababu hatutatumia fedha nyingi za kigeni katika kuagiza mafuta kama ilivyo sasa
Vile vile hakutakuwa na mabadiliko ya bei hovyo hovyo kama ilivyo kwenye mafuta kwasababu waamuzi ni sisi wenyewe

Gas ni bei rahisi sana kulinganisha na mafuta. Binafsi nimefunga mfumo huo na kwa kweli hizi kelele za kupanda mafuta sizielewi maana lita 20 inaweza kukaa miez 6, ni nadra sana kutumia mafuta.
ebu tupe ufafanuzi zaidi ya mbadala huu wa mafuta ya petroli na diesel kwenye magari.
Yaani, lita moja gas bei gani, hiyo lita moja unaweza kutembea kilomita ngapi? Upatikanaji wa gesi hiyo nchini kote ukoje, isije kuwa nikitaka kujaza ges kwenye gari lazima nitoke Ruwenzewe nije Dar es Salaam. Maana kuna wengine wanadhani Tanzania ni 'Daisalamu' tu! Na maelezo mengine ya ziada.

Natanguliza shukrani.
 
Wanabodi,

Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,

Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,

Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila mpangilio,

Kwa Africa,kutokana na report ya Umoja wa watumia diesel Africa, Tz tunashika nafasi ya pili kwa matumizi ya magari yatumiayo MAFUTA kwa wingi,hivyo ushauri wangu ninaanza na gvt tuangalie namna nzuri ya kutumia magari haya

Sio waziri unakuja kutuambia tutegemee MAFUTA kupanda wakati wewe hujui hata Bei ya petrol ni tshs ngapi,ni dharau na fedheha kubwa sana.
Ungetoa na ushauri,labda watumie magari gani kama mbadala...
 
Back
Top Bottom