bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Wanabodi,
Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,
Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,
Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila mpangilio,
Kwa Africa,kutokana na report ya Umoja wa watumia diesel Africa, Tz tunashika nafasi ya pili kwa matumizi ya magari yatumiayo MAFUTA kwa wingi,hivyo ushauri wangu ninaanza na gvt tuangalie namna nzuri ya kutumia magari haya
Sio waziri unakuja kutuambia tutegemee MAFUTA kupanda wakati wewe hujui hata Bei ya petrol ni tshs ngapi,ni dharau na fedheha kubwa sana.