Utauponza kijana, narudia utauponza!

Utauponza kijana, narudia utauponza!

Waugwadu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
484
Reaction score
854
Anakwambia mnaendana eehn? Mnapendana eehn? Anakwambia mume wake hamfikishi na pia kibamia na hajui mambo, na wewe pekee ndio unamuwezea sio.

Vipi ni mtamu eeeehn? Anasema mume wake hana makeke eehn? Mkiwa mchezoni unapiga tu mashuti mwenyewe huna hata haja ya kuhesabu magoli.

Mzuri eeehn? Unamuona mzuri sababu anatunzwa, ukiachiwa haumuwezi fala wewe.

Kijana tunza marinda, utauponza nasema hivi achana na wake za watu utauponza.

# Muda utaongea, mke wa mtu sumu.
 
Kuna jamaa ameshakuchokoza?
 
Back
Top Bottom