Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Asikudanganye huyo,wanawake wakiamua kucheat huwa hawana sababu,msikae kudanganyana eti kisa analiwa vzr,au hana shida ya kipesa,hawa viumbe ni complicated sana yaani.Nimekupata mkuu, sema wanatabia ya kuendelea kuwapa waliowahi kuwapa kabla.