fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
🤣🤣na apa anatuambia wengi sana ila wengine wanapita kimya kimya tuJamaa kama ananiambia mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣na apa anatuambia wengi sana ila wengine wanapita kimya kimya tuJamaa kama ananiambia mimi
Mkuu umeoa au unaongea tu. Uwezi kumpanda hivyo mtu kila siku. Malaya ni malaya tu haridhiki.Kama imefikia mkeo kaliwa ni wewe ndo dhaifu, na yeye ndo mwenye tabia mbaya
Mwanaume yoyote anaye timiza mahitaji ya chakula, kulala, kuvaa kwa mwanamke na akiingia kwenye mechi anapiga mzigo mpaka mwanamke anaamka asbh anatembea anayumba, hawezi huyo mwanamke ku cheet hata siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu acha kabisaa, utakuja ufanywe unachomfanyaga mkewe.Kama mume wake ni dereva wa magari ya Congo Mimi nifanyaje?? Na mke wake ndo ananitaka
MarindaAtauponza unini?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila wewe kufanya umalaya ni halali. Unafanya umalaya hadi unalala hukohuko, kisingizio kazi.Mbinu bora ni kuachana na malaya hata kama unampenda vipi!
🤣🤣🤣🤣🤣
Umeandika utadhani umewahi kuniona nafanya ujinga.Wewe kaa na limalaya lako ufe kihoro.Malaya hana utetezi.Ila wewe kufanya umalaya ni halali. Unafanya umalaya hadi unalala hukohuko, kisingizio kazi.
Mwanamke anajua yote ufanyayo. Kwa kuwa hawezi kukukamata, anaamua na yeye atamfute wa kumpoza moyo anapohitaji.
Visa vya mk...nd hulipwa kwa mk....nd.
Kama hupendi kumegewa tulizana na mkeo. Mpe hadi aseme amridhika.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Soma nilicho sema na nikiongea na nani, ya kua yamkini mapungufu yako kwake mwenyeweHuko anakoenda anapata vyote ulivyotaja hapo juu?
Nadhani anamaanisha mkudu kakaAtauponza unini?
😆😆😆