[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke amechoka kuvumilia ameenda kuliwa na wakurungwa [emoji3][emoji3][emoji3], sa itakuwaje
Kuna jamaa ameshakuchokoza?Anakwambia mnaendana eehn? Mnapendana eehn? Anakwambia mume wake hamfikishi na pia kibamia na hajui mambo, na wewe pekee ndio unamuwezea sio.
Vipi ni mtamu eeeehn? Anasema mume wake hana makeke eehn? Mkiwa mchezoni unapiga tu mashuti mwenyewe huna hata haja ya kuhesabu magoli.
Mzuri eeehn? Unamuona mzuri sababu anatunzwa, ukiachiwa haumuwezi fala wewe.
Kijana tunza marinda, utauponza nasema hivi achana na wake za watu utauponza.
# Muda utaongea, mke wa mtu sumu.
Lakini anafuatiliwa kama mtoto ili asiungue na maji ya moto.Mwanamke hachungwi kama ng'ombe mkuu.
Kiwango cha maumivu ya kuchapiwa kinategemea na kiwango cha utundu wa mwanamke wako.Kuchapiwa ni Siri ya ndani
MwanaFA aliwahi kuimba ukimegewa nawe tafuta mnyonge wako ummegee ... sijui hata alikuwa ana maanisha nini π