Utavumilia mengi kwa mwanamke ila mwanamke mwenye kisirani kikali lazima uombe pooh tu.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Utaonya
Utaita vikao
Utapiga

Haitasaidia chochote,

Ni aina fulani ya watu ambao hata kama yeye ndio amekuudhi eti anataka wewe ndio umuombe msamaha au umchangamkie.

Hawa wadada wenye visirani hata kama amekuudhi kupitiliza na umeshikwa na hasira umempiga kakofi unashangaa anakuambia "we niue tu, we niue tu ila kunizika utanizika tu"

Its funny how wadada huwa ni watu wa mihemuko ya ajabu na unashangaa anaweza kukufanyia reaction isio na kichwa na miguu, so wengine ukiwapa darasa anakuelewa at some point ila mwenye kisirani anaona kama haumtendei haki na anaona kama umedharau himaya yake.

Wadada wenye kisirani wana penda kukuperekesha sana, makosa huwa ni ya mwanaume tu kwao, ukimlalamikia umeuonea, ana dharau sana ndugu zako, muda wote ni watu wenye mood swings, etc
 
ukiona anakufanyia kisirani basi hakuheshimu(hakupendi)

Mwanamke akikuwekea kibri ni ni lazima uchague Moja akuue au umuue
Suluhisho hapo ni kutengana mapenzi ya dharau yamepitwa na wakati
Anyway hata mi yananisumbua Sasa hivi like never before
 
Mkuu pole

Ila mapenzi ya kiburi zamani hayakuwepo maana kila part ilicheza nafasi yake na kueekeeana mipaka

Sasa hivi vibinti vina viburi vya kufa mtu , vidume nao tumekuwa wazaifu, mamlaka nazo zimegeuka feminist
 
Tatizo wanaume wa siku hizi hawana misimamo unakuta jamaa ni jentrumani mtaani ila kwake anaendeshwa hadi huruma
 
Wanaume wadhaifu yukoje, wanaume nnavojua tupo simple sana always tunatafuta conclusion, kwahio tukiona vitu havieleweki tunaachana navyo. Je, huo ni udhaifu?
 
Vijana wamekuwa wazaifu sanaaaa
Screenshot_20250421-110606.png
 
Wanaume wadhaifu yukoje, wanaume nnavojua tupo simple sana always tunatafuta conclusion, kwahio tukiona vitu havieleweki tunaachana navyo. Je, huo ni udhaifu?
Kijana wa mwaka 70 80

Hauwezi mfananishia na kijana wa 98 au 2000

Mindset zao, uvumilivu, apporoach, resistance, persistence, nguvu, umwamba ni tofauti huku vijana wa kileo wakiomba pooh.

Kuna namna baba yako alitengeneza himaya pale nyumbani na mama yako aliiheshimu lakini sasa unatengeneza himaya kwa kuangalia huyo mrembo atakuonaje tofauti na hapo wanaume katika mamlaka za kusimamia maswali ya ndoa wamekuwa feminist

Sasa unategemea nini
 
Uhusiano kama huu mie siwezi vumilia kabisa

Kuna jamaa angu anamiliki mahusiano ya namna hii naona jinsi yanavyo muaendesha.

Kila akikupigia simu yeye ni kuomba ushauri tu 😄 muda wote
 
Hao mababa imara wameshindwaje kutengeneza vijana wao kuwa imara kama wao?

Zamani kulikua hamna mitandao tu ila nakuhakikshia haya mambo yalikuepo sana tu hamna jipya na saivi.
 
Uhusiano kama huu mie siwezi vumilia kabisa

Kuna jamaa angu anamiliki mahusiano ya namna hii naona jinsi yanavyo muaendesha.

Kila akikupigia simu yeye ni kuomba ushauri tu 😄 muda wote
Hahah mapenzi hayana ushauri

Vijana tumekuwa wadhaifu, mabinti wamekuwa wahuni

ebu fikiria baba yako angechukua uamuzi gani miaka hio ya 70 au 80??🤣

Hauwezi badirisha mwanamke kisirani kwa maana appreciation yake kwako ndio hicho kiburi anachokufanyia
 
Kisirani ni kinini mkuu wengine kiswahili tumejulia ukubwani
 
Hahah mapenzi hayana ushauri

Vijana tumekuwa wadhaifu, mabinti wamekuwa wahuni

ebu fikiria baba yako angechukua uamuzi gani miaka hio ya 70 au 80??🤣

Hauwezi badirisha mwanamke kisirani kwa maana appreciation yake kwako ndio hicho kiburi anachokufanyia
Hakika mkuu 👊 nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
Kuwa mapenzi hayana ushauri vijana wa kileo ndo tunafail hapo
 
Hakika ukiona mtu anakuomba ushauri wa mapenzi ujue abatafuta faraja

Kama uongo jaribu kumshauri rafiki yako amuache huyo gube gube 🤣🤣🤣, utaanza kusikia maneno mengi 😁😁😁

Yani huyo ni kwmba anakumbali snaa huyo binti, sasa binti aanatumia hio fimbo kucmchapia
 
Kiburi 25%
Dharau 25%
Visa 25%
Ubishi 25%

ukijumlisha unapata 100% ya kisirani.
Mwanamke wa hivyo hapana kwakweli wengi wanafaa wabakie tu single au single mother, na wawe mafeminist
 
Wanawake wengi sasa wana visirani sana

Kwa maana sisi kwanza tumekuwa mayaai, dunia na mamlaka zimegeuka feminist, uhuni wa wadada unavchukuliwa poa,

Ebu mtazame mama yako hadi sasa katika umri mkubwa bado anamnyenyekea dingi ila angalia demu wako ea miezi minne anavyo kupeerrrekeha

Ndio maana naambia vijana warudi mashambani kuoa angalau ukakasi utapungua.

Ila tunachoambuliwa tunageuzwa midoli ya mademu
Screenshot_20250421-110606.png
 
Back
Top Bottom