Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
- Thread starter
- #21
Hio utakuta ni 40s matatizo ya moyo 🤣Umkute sasa ana elimu + cheo+ fedha..kila rangi UTAIONA
Alafu wanaanza kusingiizia eti ulikuwa uanapenda kitimoto na pombe ndio maana ukapata magonjwa
Kumbe ndani ulikuwa unapelekeshwa kama mashine ya unga,😁