Utaonya
Utaita vikao
Utapiga
Haitasaidia chochote,
Ni aina fulani ya watu ambao hata kama yeye ndio amekuudhi eti anataka wewe ndio umuombe msamaha au umchangamkie.
Hawa wadada wenye visirani hata kama amekuudhi kupitiliza na umeshikwa na hasira umempiga kakofi unashangaa anakuambia "we niue tu, we niue tu ila kunizika utanizika tu"
Its funny how wadada huwa ni watu wa mihemuko ya ajabu na unashangaa anaweza kukufanyia reaction isio na kichwa na miguu, so wengine ukiwapa darasa anakuelewa at some point ila mwenye kisirani anaona kama haumtendei haki na anaona kama umedharau himaya yake.
Wadada wenye kisirani wana penda kukuperekesha sana, makosa huwa ni ya mwanaume tu kwao, ukimlalamikia umeuonea, ana dharau sana ndugu zako, muda wote ni watu wenye mood swings, etc
Mkuu poleMwanamke akikuwekea kibri ni ni lazima uchague Moja akuue au umuue
Suluhisho hapo ni kutengana mapenzi ya dharau yamepitwa na wakati
Anyway hata mi yananisumbua Sasa hivi like never before
Wanaume wadhaifu yukoje, wanaume nnavojua tupo simple sana always tunatafuta conclusion, kwahio tukiona vitu havieleweki tunaachana navyo. Je, huo ni udhaifu?Mkuu pole
Ila mapenzi ya kiburi zamani hayakuwepo maana kila part ilicheza nafasi yake na kueekeeana mipaka
Sasa hivi vibinti vina viburi vya kufa mtu , vidume nao tumekuwa wazaifu, mamlaka nazo zimegeuka feminist
Kijana wa mwaka 70 80Wanaume wadhaifu yukoje, wanaume nnavojua tupo simple sana always tunatafuta conclusion, kwahio tukiona vitu havieleweki tunaachana navyo. Je, huo ni udhaifu?
Hao mababa imara wameshindwaje kutengeneza vijana wao kuwa imara kama wao?Kijana wa mwaka 70 80
Hauwezi mfananishia na kijana wa 98 au 2000
Mindset zao, uvumilivu, apporoach, resistance, persistence, nguvu, umwamba ni tofauti huku vijana wa kileo wakiomba pooh.
Kuna namna baba yako alitengeneza himaya pale nyumbani na mama yako aliiheshimu lakini sasa unatengeneza himaya kwa kuangalia huyo mrembo atakuonaje tofauti na hapo wanaume katika mamlaka za kusimamia maswali ya ndoa wamekuwa feminist
Sasa unategemea nini
Hahah mapenzi hayana ushauriUhusiano kama huu mie siwezi vumilia kabisa
Kuna jamaa angu anamiliki mahusiano ya namna hii naona jinsi yanavyo muaendesha.
Kila akikupigia simu yeye ni kuomba ushauri tu π muda wote
Hakika mkuu π nakubaliana na wewe kwa asilimia zoteHahah mapenzi hayana ushauri
Vijana tumekuwa wadhaifu, mabinti wamekuwa wahuni
ebu fikiria baba yako angechukua uamuzi gani miaka hio ya 70 au 80??π€£
Hauwezi badirisha mwanamke kisirani kwa maana appreciation yake kwako ndio hicho kiburi anachokufanyia
Hakika ukiona mtu anakuomba ushauri wa mapenzi ujue abatafuta farajaHakika mkuu π nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
Kuwa mapenzi hayana ushauri vijana wa kileo ndo tunafail hapo
Mwanamke wa hivyo hapana kwakweli wengi wanafaa wabakie tu single au single mother, na wawe mafeministKiburi 25%
Dharau 25%
Visa 25%
Ubishi 25%
ukijumlisha unapata 100% ya kisirani.
Wanawake wengi sasa wana visirani sanaMwanamke wa hivyo hapana kwakweli wengi wanafaa wabakie tu single au single mother, na wawe mafeminist