Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Head to head kati ya IDF na Kobaz historia inawabeba zaidi IDF.Hiki ndiyo kinachofuata,na Golan itarudi Syria
Kwa Syria, Israel haikwepeki, inawezekana bwana Faheed alizingatia historia ya nchi hizo mbili; ardhi ya Syria ina damu nyingi sana za wana wa Israeli hasa kutoka makabila 10 ya Israel, they know each other. Halafu kitu cha ajabu sana, mji wa Madina, wenyeji wake kihistoria ni Wahamiaji kutoka Syria, huenda wale nao wana vinasaba na Waisrael. Historia ya middle east is very complicated.Nilishangazwa na kauli ya HTS official Fahed aliyoitoa muda mfupi baada ya kuanguka kwa Damascus juu ya Israel ya kuwakaribisha kuwekeza Syria na wao wapo tayari kushirikiana nao.
Haramu ni wewe.Israel ni taifa haramu
Akili ya waarabu haiwwez kujua hilo hapo miaka 7 aapigane miaka 20 nchi itulie aada ya new gen kuingia after 30 yrs to come watataka kurejesha maeneo yaliyobebwa na Israel vita inaanza tena wanakumbushwa kama walisaidiwa hapo silaha walizopewa hawapew repair equips so wananza tena kuvuruga nchi yao hawa watu Mungu aliwanyima akili hekma na maarifa kama wale kule serengeti wanao hama hamaWakati wanasaidiwa kumuondoa Bashar Ally Asaad walifikiri ni bure bure gharama lazima zilipiwe
Je historia ya east and Central na south afrika is too simple for Arabs to understandKwa Syria, Israel haikwepeki, inawezekana bwana Faheed alizingatia historia ya nchi hizo mbili; ardhi ya Syria ina damu nyingi sana za wana wa Israeli hasa kutoka makabila 10 ya Israel, they know each other. Halafu kitu cha ajabu sana, mji wa Madina, wenyeji wake kihistoria ni Wahamiaji kutoka Syria, huenda wale nao wana vinasaba na Waisrael. Historia ya middle east is very complicated.
Wao waendelee kuwaua wapinzani waoUtawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN Security Council) kuhususiana na mwenendo wa Israel kuendelea kujitwalia maeneo zaidi katika Taifa hilo huru kinyume kabisa na sheria za Umoja wa mataifa.
📌Kama mdau na mchambuzi wa siasa namedani za kimataifa, Nini maoni yako?
Waarabu washobokee mambo ya Africa while wao ni sehemu ya watesi wetu? Ma ugomvi ya kidini yanayo endelea kwao na kwetu, wao ndio sababu then you want them to start understanding Africa? No way brotherJe historia ya east and Central na south afrika is too simple for Arabs to understand
Nimeona leo jeshi la IDF likiwaambia raia wa Syria wafungashe na kuo doka maeneo waliyovamia huko Syria,raia wa Syria wakagama kuondoka!Kilichofuata IDF wakaanza kuharibu miundombinu ya barabara,maji na umeme ili kuwalazimisha kuondoka!Raia bado wameendelea kukaza kuwa hawaondoki na kama ni kufa basi watafia kwenye ardhi yao!Syrian Labels hawakupigana peke yao walipata support ya USA, na bado ana play big role mule ndani, hivyo watarudi kwa USA kuomba msaada aweke mambo sawa.
Hawa Labels walimsaidia USA kuiangamiza ISIS, nao wakasidiwa kumuondoa Asad, hawana jinsi lazima USA awasaidie kuunda serikali.
Israel hawachukui maeneo ila wanatengeneza buffer zone, na UN security council watawaunga mkono na UN security council wanaona SYRIA haijatulia, watarudishiwa maeneo baadaye.
Na kuna taifa moja la Ulaya (kama sijakosea ni Armenia) limeanza kutoa vibunda ili kuwashawishi wakimbizi hao warudi nchini mwao Syria, ihali bado hali ni tete na kuna kila dalili ya kuibuka kwa mgogoro mpya na Israel.WaSyria wakimbizi wanaambiwa warudi kwao sasa kuna amani toka Europe hawataki😅😅😅
unaotaSyria, ipindueni serikali ya Benjamin Netanyahu
Na watashindwaSoon wanaenda kuchapana hawa, naona kabisa Rebels wakiungana na Iran/hizbullah kumkabili mu Israel.
Wajinga sana waarabu. Mimi nakubali sana spirit yao ya kupigana ila hawana akili. Hawajajifunza TU hata kutoka libya hapo.Wakati wanasaidiwa kumuondoa Bashar Ally Asaad walifikiri ni bure bure gharama lazima zilipiwe