Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

Ewaa sasa uoni sasa nimeamini taarifa yako? Taarifa humu ni nyingi sana, kwa ku weka source naamini .
kwahiyo umeamini kuwa Israel ni wahuni?Maana mwanzo ulisema israel hawezi kufanya uhuni huo na kwamba nilichoandika ni chai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…