Ndio ulivyo karirishwa week endMabeberu siyo makondoo!
Beberu akimwamlia yeyote lazima asande
Bwana Utam sivyo ulivyo mkuu?Ndio ulivyo karirishwa week end
NipojeBwana Utam sivyo ulivyo mkuu?
Hapa sawaNi typing error
Nilimaanisha, sivyo walivyo mabeberu?
Mindless mwambie ukwelNdio ulivyo karirishwa week end
Hata ukimwambia atakataaMindless mwambie ukwel
wajinga ndo mliwao na mtaliwa mpaka iwe nyekunduuuuuu!!!!Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho.
Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho.
Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.
MALCOM LUMUMBAInitial Estimate: When the U.S. and Israel launched strikes on February 28, 2026, President Trump stated the campaign would take about four to five weeks maximum.
Kama Trump na kibaraka wake Netanyahu walisema hayo, mwezi February 2026 na hadi sasa Vita inaendelea; Mtu anaye amini matamko yao atakuwa namatatizo ya Afya ya akili...
AhhhMALCOM LUMUMBA
@PRONDO
Bado siku ngapi zitimie week sita mzee mwenye akili timamu 😃😃😃
Wazayuni wa jf kwa kuchamba umbea tu hamjambo !!! View attachment 3663979