Utawala wa Iran lazima uangukie Pua Watake was itakaa-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:

Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho.

Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.
 
Mabeberu siyo makondoo!

Beberu akimwamlia yeyote lazima asande
 
Kwa ufupi ni Netanyahu pekee ndo anaiwezea Iran
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:

Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho.

Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.

Initial Estimate: When the U.S. and Israel launched strikes on February 28, 2026, President Trump stated the campaign would take about four to five weeks maximum.

Kama Trump na kibaraka wake Netanyahu walisema hayo, mwezi February 2026 na hadi sasa Vita inaendelea; Mtu anaye amini matamko yao atakuwa namatatizo ya Afya ya akili...
 
MALCOM LUMUMBA

@PRONDO

Bado siku ngapi zitimie week sita mzee mwenye akili timamu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wazayuni wa jf kwa kuchamba umbea tu hamjambo !!!
 

Attachments

  • Screenshot_20260307_161958.jpg
    182.5 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…