Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Sikiliza wewe gaidi ..
Usifikiri watu hatufuatilii news. Na sio kila mtu humu ni mjinga kama wewe ..na zaidi sio peke yako una tv
Hadi Sasa hakuna mshindi yoyote kati ya waliopigiwa kura...na wanaongoza ni mwamba Benjamin na mjeda..mwisho wa siku ikienda hivi Kuna mawili UCHAGUZI urudiwe au waungane kutengeneza serikali na unadhani nani ataiongoza hio serikali kwa akili yako we mbululaz? Muarabu?
Ushindi angalau mnaweza kufurahia ni vyama vya kiarabu vimepata viti vya ubunge ambayo itawapa na wao kua katika serikali ya mseto ama kua na MAAMUZI...unadhani hawataweza kua compromised? Au unafikiri ndio wataijenga gaza upya? Siasa mchezo mchafu, wewe baki huko buguruni malapa