Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

Mzee huyu alikuwa wa kumhurumia tu. Na alipata wakati mgumu sana, maana Nyerere alikuwa hai bado. Ndio maana Mkapa alipoingia alimfanyia Nyerere mambo ya ajabu sana. Kama Nyerere angekuwapo baada ya miaka mitano ya kwanza ya utawala wa Mkapa, CCM ingeandika historia, asingepitishwa tena. Mkapa alijua hilo. Akajiongeza.
Dah inasemekana alijiongeza na yeye akaongezwa.
 
Ni kweli, nasikitishwa sana na jinsi "waheshimiwa" wanavyozidi kujijengea himaya yao na kujitofautisha na Watanzania wengine. Enzi za Nyerere na Mwinyi nilikuwapo kama kijana chipukizi mkereketwa! 😀 😀 😀
shkamoo MSHUA.
 
Neno "mtukufu Rais " lilitumika enzi ipi??
Je bado linatumika?? Kama halitumiki nani aliliondoa??
Wakati wa Mwinyi. Mkapa akakataa kuitwa mtukufu Raisi.
Waliiga Kenya ya Daniel Moi.
 
Back
Top Bottom