Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

Dah inasemekana alijiongeza na yeye akaongezwa.
 
Ni kweli, nasikitishwa sana na jinsi "waheshimiwa" wanavyozidi kujijengea himaya yao na kujitofautisha na Watanzania wengine. Enzi za Nyerere na Mwinyi nilikuwapo kama kijana chipukizi mkereketwa! 😀 😀 😀
shkamoo MSHUA.
 
Neno "mtukufu Rais " lilitumika enzi ipi??
Je bado linatumika?? Kama halitumiki nani aliliondoa??
Wakati wa Mwinyi. Mkapa akakataa kuitwa mtukufu Raisi.
Waliiga Kenya ya Daniel Moi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…