Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

Hivi ingekuwa ni mechi ya kimataifa nayo wangeihailisha?
 
Hatuta msahau jpm
JPM ndo source ya mambo yote, alivurugavuruga mambo mengi hamkuyaona? Alitawala kibabebabe hamkuona?

Asilmia kubwa ya viongozi waliopo ni zao la JPM Hilo halina ubishi!

Binafsi me nishamsahau huyo JPM, tusikumbushane yaliyopita, hii ni awamu ya 6 na sio ya 5!
 
I bet sio Lumbumba tu, hii hoja ipo kitaifa zaidi. Inawezekana kabisa taifa halina watu madhubuti kuongoza. Tutalalamika hivi hadi vizazi vyetu vipite...
Hilo nakubaliana na wewe kabisa ila hapa nawaning'iniza Lumumba kwa sababu ndio hasa ambao tayari wamesha-prove failure!

Kwamba ni tatizo la kitaifa, binafsi nishawahi kusema mara kadhaa huko nyuma kwamba nchi hii pale Magogoni/Chamwino iwepo CCM, CHADEMA, au ACT bado yatakuwa yale yale tu kwa sababu hata hao wengine wanatoka kwenye jamii ile ile wanayotoka Lumumba!!!

Sema hao wengine nalazimika kuwapa the benefit of the doubt, kitu ambacho CCM hawa-deserve!!!
 
🐸Wangekuwa vizuri wangeimba 🎵🎵MBONA HUTOKEI MAMA WEE MWENZIO NAKUSUBIRI🎷🎷...lakini mwee ooo kanuni/ratiba 🐸🐸🐸
 
CCM ni failure ila vyama vingine ni disaster.

Hii nchi ina changamoto nyingi sana.
 
Unajichanganya, hiyo amri kama imetoka juu ndio uongozi wa Samia unahusika, usizunguke mbuyu.
Mkuu tusizunguke Sana! Tatizo ni TFF, wao walishindwa nini kutafsir sheria? Au zile sheria zpo Kama mapambo??
 
CCM ni failure ila vyama vingine ni disaster.

Hii nchi ina changamoto nyingi sana.
Kama nilivyosema, kwa ujumla Watanzania, kama sio Miafrika, sie viumbe tuna matatizo makubwa sana lakini hao wengine I mean upinzani, sina budi kuwapa the benefit of the doubt!
 
Umeongea ukweli halisi mkuu. Tutaongea hadi vizazi vyetu viishe, vile natamani tu upinzani nao upate chance ya kuongoza. Ili hii hoja iwe na mashiko.
 
Utawala wa Rais Samia ushughulike na kila kitu mpaka upuuzi wa kina Yanga na Simba!!. Yanga kwa taarifa tu ni kwamba wale wanachama wao wenye vyeo vikubwa serikalini akiwemo Waziri Bashungwa ndio walitengeneza zengwe la jana ili kocha wao apate muda zaidi wa kuandaa timu.

Zile ni siasa za uoga, sio suala la kulioanisha na uongozi wa juu kabisa wa nchi. Kocha Nabi alisema kuwa El Merreikh ni bora mara tano kuizidi Yanga, na Simba wamewachapa hao wasudani hivyo akili ya kawaida tu imewapa uoga wanayanga wenye nafasi serikali.

Kero ni watu kulipishwa kiingilio halafu mechi isichezwe. Hizo pesa ni bora zijulikane ni kiasi gani zimepatikana na ziende zikajenge shule maalum ya soka ili TFF waikwepe laana ya mashabiki.
 
Acha ujinga wewe.
 
Nongwa zitawaua wale wote wanaoshindwa kukubaliana na ukweli kwamba JPM kwa sasa ni Hayati. Ameshatangulia mbele ya haki.
 
Mkuu tusizunguke Sana! Tatizo ni TFF, wao walishindwa nini kutafsir sheria? Au zile sheria zpo Kama mapambo??
Nakubaliana na wewe. TFF walikuwa na uwezo wa kakataa kutii amri kwa kuzingatia kanuni zao hata kama amri ingetoka Ikulu.
 
Umeongea ukweli halisi mkuu. Tutaongea hadi vizazi vyetu viishe, vile natamani tu upinzani nao upate chance ya kuongoza. Ili hii hoja iwe na mashiko.
EXACTLY...

...tena sio tu ili hoja iwe na mashiko bali hiyo itatupa fursa ya kujitathimini kama taifa tofauti na ilivyo sasa ambapo tunalazimika kuwabembesha jumba bovu CCM, na kwa bahati mbaya sana kwao , hawana legitimacy ya kukana shutuma zote tunazowapa kwa sababu ni wao ndio wanaendesha nchi for 60+ years now!!
 

60yrs hakuna la maana, bado tunapambania "mashimo" ya vyoo, sio sawa hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…