Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

Msukule wa Jiwe huyo ambae kila siku yeye na misukule wenzake wanahangaika kuonesha Jiwe alikuwa bora!!! Yaani wanasahau kwamba Jiwe mwenyewe alikuwa ndo mvunjaji mkubwa wa sheria za nchi...

Hakika hakuna jinamizi kubwa nchi hii kama tawala za CCM!
Sasa hapa umetetea Samia na kumponda jiwe au umefanya kitu gani?
 
nilipoona tu hawajataja sababu,nikajua itakuwa sababu ya kipuuzi
Mimi sifuatilii huu mpira wa kibongo lakini naona Yanga wana hoja na Simba wameonyesha ujinga wa hali ya juu. Mechi inayohusisha watu wengi na matayarisho mengi namna hii haiwezi kuahirishwa kwa ghafla namna hii bila sababu za maana. Kama sababu zilikuwa ni hizo za uzinduzi wa kitabu basi bado tuko kwenye mfumo wa kujima wa enzi za mawe. Hii inaonyesha viongozi wetu walivyo wabinafsi.
 
Ameanza vibaya Mama, na asipokuwa makin ataenda kuwa the worst President in Tz.
Mpaka mwisho wa dunia hakuna rais atakuja kumshinda JPM kwa ubovu.
Yule dikteta uchwara ni rais mbovu kuwahi kutokea hapa Nchini.
 
Kubadilisha muda wa mechi. Timu kujileta uwanjani na kujiondokea. Kuhairishwa kwa mechi kubwa kwa dharura ni matokeo ya dharau za wazi kwa mashabiki!
Kama zilivyo hizo kanuni... Utu na thamani ya mashabiki na watazamaji lazima vipewe kipaumbele.
Ningeweza kusikilizwa na kila Mtanzania ningeshauri watazamaji wote wagomee mechi mfululizo hadi msimu huu wa ligi uishe!!
TFF walikosea. Lakini kuleta timu na kuondoka huku watazamaji wakiwemo uwanjani ni kejeli na dharau kubwa!
Football is for fans! Kanuni ni za viongozi!!
 
Mpaka mwisho wa dunia hakuna rais atakuja kumshinda JPM kwa ubovu.
Yule dikteta uchwara ni rais mbovu kuwahi kutokea hapa Nchini.
Shida ya huyu mama, watendaji wake wote wanamchukulia poa, kila anacho order hakitekelezwi, chukulia mfano wa vyombo vya habari, kuachiliwa kwa wafungwa wa kisiasa, Upelelez BOT nk ..hakuna anacho order kinachofanyiwa kazi kwa wakati, JPM alikuwa akitamka tu watu wanatekeleza fasta tena huku wanatetemeka! Huyu mama hana influence kwenye wizara na taasisi za serikali, watendaji wanamdharau.
 
Mama kachemka mapema sn kuliko hata dikteta
 
TFF ya msomali imeoza sn
TFF hii ni mataputapu, hakuna viongozi pale, ni wachumia tumbo, waamuz hawalipwi, wadhamin wanatoa pesa za washindi wa ligi na makombe mbalimbali, wanakula tena bila aibu kwa visingizio vya kuwadai, ratiba ya ligi one of the worst in the world of football, haiwezekan timu 2 hazijakutana mpaka sasahivi ligi ipo ukingon, mfano Namungo vs Simba, TFF hii imefungia watu wote wanaoikosoa, tena wamewapoteza kabisa kwenye soka!
 
Wewe unachuki sijui watanzania mkoje?
 
Yule msomali ni mshenzi sn, amegeuza TFF kuwa mali yake binafsi
 
Yule msomali ni mshenzi sn, amegeuza TFF kuwa mali yake binafsi
Wacha kutafuta soft spot aliyepeleka mechi mbele sio TFF ni Wizara. Halafu kwanini iwe nongwa kwa mechi ya jana tu.Mechi za Azam, Biashara na Gwambina dhidi ya Yanga zilipelekwa mbele. Mechi za Simba dhidi ya Mtibwa na Dodoma Jiji pia zilipelekwa mbele tena sio kwa kabla ya masaa 24 kama kanuni zinaonesha.Kwani kanuni zipo kwa Yanga ikicheza na Simba tu na vice versa.Wacheni kufuata mkumbo. Wa kulaumiwa anajulikana kwa mechi ya jana.
 
Mpuuzi wewe kwahiyo tuwaache waendelee kuvunja sheria na kanuni walizotunga wao wenyewe? heko kwa Yanga
 
Nyinyi nin mafala, Sasa Rais ndio ametoa amri ya kuzuia mechi isichezwe, yaani sasa ishafikia hata mkiliwa kinguvu na mabasha zenu, lawama mtatoa kwa Number 1
 
Mwenda zake ndiye aliwajengea hofu watendaji wake,
Na haya ndiyo madhala yake,bado wanafikili wapo awamu ya 5.
Unajua issue ni kwamba kuna wale vijana wa book saba pale Lumumba walikuwa wakilipwa na mmoja kati hawa Sukuma gang.
Baada ya Mama kuwa weka kando viongozi walio kuwa wana walipa, sasa hao viongozi wameanza kuwa tumia kumtukanaMh. Rais na kuwalipa. Ndio upuuzi unao endelea kwa sasa.
 
Mpuuzi wewe kwahiyo tuwaache waendelee kuvunja sheria na kanuni walizotunga wao wenyewe? heko kwa Yanga
Ukiona mtu anakimbilia matusi na sio nguvu za hoja Mpuuze.
 
Kichwa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…